figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #121
Hapa Magari 16 ya Urusi yaliharibiwa. Hii ni tarehe 13 Machi 2022
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sikiliza dogo, Russia kafungiwa internet, kwahio huoni mambo ya upande wake kilichobaki ni habari za upande mmoja ila cha moto wanakiona hao NATO na UkraineMkuu simple tu em na wewe tufungulie hapa uzi tuyaone matango pori ya upande wa pili.
Hivi mtu binafsi anaruhusiwa kusogeza gari kama hili nyumbani kwake vita ikiisha analitumia!?Hivi Vifaru vilivyotekwa ni vya Urusi aina ya T-80BVM na T-80Us. Na hilo ni gari la Ugavi la Urusi likiwa limeteketea. Magari haya huwa yanasambaza Silaha na vyakula kwa Wanajeshi.
View attachment 2158712View attachment 2158713View attachment 2158714
Wanajeshi wa Ukraine wa Mji wa Irpin, wakiwa wamebeba M72 EC LAWs. Denmark ndo waliowapa huu msaada wa M72 EC LAWs silaha za kuharibu Vifaru na Magari ya Urusi
View attachment 2158715View attachment 2158716View attachment 2158717
Salaam Wakuu,
Hii ni Special thread ya Video na Picha kutoka Uwanja wa Mapambano Ukraine kwa Wanajeshi Waliopo Msitari wa Mbele. Hii thread inawahusu timu Ukraine.
View attachment 2158105
View attachment 2157979
Mwanajeshi wa Ukriane akiwa na PG-7VM rockets
View attachment 2157991
View attachment 2158012
Hiki ni kipigo cha kwanza walichokipata Urusi. Misafara wa Urusi Ulikuwa unaelekea Ukraine. Magari yenye Maandishi ya Z ndo ya Urusi. Na Wanajeshi wenye alama ya njano kwenye bega ndo wa Ukraine
View attachment 2158022
NB: Video kama haija vizuri kwenye screen yako, ijaze kwa kuizoom.
Watu wanaumia utadhani walizaliwa viunga vya kremlin 🤣🤣🤣😂 sindano imemuingia imebidi apige tu ukunga 😂😂 ongeza dozi mkuu
Pole sana. Jitahidi kusoma title na post ya kwanza. Watanzania kwamba ukutaka kuwaficha weka ujumbe kwenye Maandishi. Ndo hii sasa.Sasa mbona hakuna picja walau za majengo ya ukraine vifaru vyao etc. Au wanakufa warusi tu.