Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi


Ingetakiwa supporter wote wa Ukraine mkamatwe mnyonge !! Russia is a friend to Africa and west are our big enemies
 
Ingetakiwa supporter wote wa Ukraine mkamatwe mnyonge !! Russia is a friend to Africa and west are our big enemies
Hii ni Ukriane sio Afrika. Mtu yoyote anaye teka nchi na kuikalia kimabavu ni Mkoloni. Siungi mkono Mkoloni yoyote hata kama ni ndugu yangu. Warusi wanalima, wanachimba madini, wanachukua chuma kutoka Ukraine na kupeleka Urusi. Yote wanafanya kwa mabavu kwa mtuti wa Bunduki. Siwezi kuwaunga Mkono. Wakimalizana na Ukriane watahamia Afrika. Nani wa kumfunga paka kengere?

Lazima tupige kelele ili ajue anachofanya ni Ukoloni. Siungi Mkono Ukoloni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…