Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Urusi wananifanya wajanja kufika Vifaru kwenye vichaka, tunafichua. Hii ni T-80BVM ya Urusi.
 
Hii ni Bushmaster armored vehicles ya Australia zipo 20 Ukraine.
Your browser is not able to display this video.
 
Mariupol bado ni moto. Hawa ni Azov wakikinukisha, achana na wasemao azov sijui wapo kwenye handaki sijui. Sijui bado saa moja wajisalimishe. Ni uongo
Your browser is not able to display this video.
 
Wakuu, Ukraine wametisha.

Hii ni Mjini katikati Moscow. Kuna moshi mkubwa na hatujajua nini kimetokea. Sasa kila siku Urusi ni moto fire. Watu wanasema Wananchi wa Urusi hawakubaliani na kinachoendelea Urusi.
 
Ukraine inaendekea kusaidiwa na Wadau wa Vita ya kutetea haki.
Your browser is not able to display this video.
 
Vifaru vya Urusi aina ya T-72B vimeharibiwa na LAW Mkoani Donetsk



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…