HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Hujiulizi kwanini Urusi kashindwa kuteka Kyiv hadi muda huuHuwa najaribu kuwaza kama Ukraine asingekua anapata misaada mbalimbali ya silaha na majeshi wangekua katika hali gani hadi sasa[emoji848]