Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Kwa mara ya kwanza, Ukraine wameweza kuharibu kifaru cha gharama sana aina ya BMD-4M2 Sinitsa IFV. Mrusi hakuvileta vingi. Hiki kinatungua hadi ndege. Hivi vifaru vinatengenezwa na Kurganmashzavod JSC nchini Urusi. Utajua mwenyewe dereva anakaa wapi

Kurganmashzavod_from_Russia_presents_BMD-4M2_new_variant_of_airborne_infantry_fighting_vehicle...jpg

 
Urusi waoga balaa. Wameng'oa reli ili mzigo wa Ukraine unaoenda Donbas usofike🤣🤣🤣

Tutatumia Chopa. Sisi tulituma kiberenge kabla ya kutuma Mzigo ili kisafishe njia. Kikakuta wameng'oa reli. So mzigo upo salama
20220425_124752.jpg
20220425_124750.jpg
20220425_124745.jpg
20220425_124735.jpg
 
Kifaru cha Urusi kimesambaratishwa
 
Tumwjibu mapigo, sisi tulikuwa tunataka kwenda Donbas na Treni wakang'oa reli kiberenge kikaanguka. Na sisi tumefyatua reli Vifaru vyao vimeanguka. Hadi waje kuviia tushasonga mbele. Kwanza mashine ya Kuviinua itapita wapi? 🤣🤣🤣. Hapa ni Berdyansk Ukraine
 
Hapa ni Mariupol na huyu anayetambaa ni Askari wa ukraine aliyetenguliwa kiuno na Azov. Kapigwa risasi ya Mguu. Azov Moto sana
 
Donbas : Kifaru cha Urusi aina ya T-72B
 
Kifaru cha Urusi aina ya T-72B3 Donbas
 
Back
Top Bottom