Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Angalai Bucha ilivyo sasa hivi. Before and after. Chuma chakavu ya Vifaru vya Urusi tumeondoa barabarani
20220424_185906.jpg
20220424_185909.jpg
 
Polisi wa Doria wa Ukraine huko Kryvyi Rih. Wamekamata Silaha. Magazini za AK, vilipuzi aina ya DKRP-4, Mabox 4 ya risasi aina ya 7.62x39 na bunduki 10 za Kichina Aina ya 56-1. (Kumbe china inaisaidia Urusi)
20220424_203343.jpg
20220424_203346.jpg
 
Wanajeshi wa Israel wawasili Ukraine kuwasaidia wanajeshi wa Ukraine. Natamani wapelekwe Mariupol
 
Urusi tumewafurumusha wakatoka mbio wakaacha viatu na Magari ya gharama kama BM 21. Hii ni 122mm BM-21 "Grad" pattern MRL ya Urusi imetelekezwa na Urusi baada ya kuzungukwa na Majeshi la Ukraine.
 
Majeshi ya Africa yajifunze kutumia drone Vitani. Vita ya sasa hivi sio kupasua tofali kwa kichwa wala kupigana Fimbo hadi ivunjike. Hii drone ya Ukraine ikiwachakaza Urusi. Hapa hata ubebe gogo kubwa gani halisaidii.
 
Angalia kikundi cha Chechen units cha Chechnya kinachoisaidia Urusi kilivyo kimbizwa na Wanajeshi wa Azov. Walipoona wenzao wawili wametunguliwa risasi ikabidi wakimbie.. Hahahaaa. Zoom kuona vizuri
 
Hiii picha imechukuliwa ndani ya Kifaru cha Ukraine aina ya BTR-4. Wanaoshambuliwa ni Majeshi ya Urusi.
 
Urusi hawana hamu na Ukraine. Hahaaa..!! Eti wanalinda watu wasitoke kwenye Mahandaki. Gafla wanasikia kitu kizito
 
Hii ni Rocket aina yaLMM Martlet ya Uingereza. Inaweza kutumika ardhini kwenda angani au angani kwenda ardhini. Yaani inaweza tumiwa na ndege na ikatumiwa na Askali wa ardhini
20220424_222224.jpg
20220424_222222.jpg
20220424_222219.jpg
20220424_222217.jpg
 
Hii ni Bastion-02" MRLS (multiple rocket launch systems) ambazo Ukraine wanatengeneza wenyewe. Hapa mashambulizi yanaelekezwa kwa Majeshi ya Urusi.
 
Waandamanaji Wanaimba na kuwatia moyo Azov. Wanasema Azov Wasife moyo wala kukata tamaa. Azov azov azov azov....
 
Azov wakiwa kwenye ngome yao wakicheza muziki
 
Moja ya handaki la Azov. Ukisikia Mariupol ni Azov na Azov ni Mariupol ndo hii. Huko chini kwenye mahandiki lazima upotee. Ndo nyumbani kwa Azov🤣🤣🤣
 
Huwa najaribu kuwaza kama Ukraine asingekua anapata misaada mbalimbali ya silaha na majeshi wangekua katika hali gani hadi sasa[emoji848]
Hivi putin kujifanya anaweza pambana na NATO yenye nchi 30 angeweza?
 
Bryansk ndani ya Urusi: Tangu vita ianze, imeendelea kupata hasara kwenye vitengo vyao nyeti. Na aombe Mungu hili lisiwe ni lile Bomba kubwa la Mafuta. Wataanza kutumia punda
20220425_080946.jpg
20220425_080941.jpg
20220425_080951.jpg
20220425_081021.jpg
 
Askari wa Urusi asilimia kubwa wakiwa Chechen, waliambiwa wakae hadi Azov watoke handakini. Basi kuna ngome wakaweka Mariupol, Azov walipogundua, wamelilipua jengo lao. Askari 10 wamekufa na wengine wamelaliwa na vifusi. Azov wanajiokotea mmoja mmoja. Urusi wasipoondoka wataisha. Urusi wanajua Azov hawana Silaha nzito. Mariupol ni Nyumbani kwa Azov. Tangu 2014 wapo hapo.. Wanajua mitaa yote. Angalia Mrusi alivyobanwa mbavu. Huyu baba kuna video alikua anajigamba huku anajipiga kifua. Sasa yupo ndani ya kifusi. Ajipige kifua tuone😂😂
 
Back
Top Bottom