figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #1,461
Hivi ndo Vifaru aina ya Leopard 1s ambavyo Ujerumani imeisaidia Ukraine. Vimeingia tu, jamaa kachukua kimoja kaenda nacho field.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ivi wanawake wanaojikwatuaga na magwanda jeshini,mbona huku vitani siwaoni?
Nimeangalia picha za wapiganaji wa Ukraine 🇺🇦, holaaa wapigaji wana Russia 🇷🇺 nako hola,wamefichwa wapiii?
Naona kinaumana wanaume tu?