Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Kituo Kikuu cha Dawa Cha Urusi Moscow, kinawaka moto.
Your browser is not able to display this video.
 
Hawa Azov wanajiokotea Mrusi mmoja mmoja. Eti wapo kwenye handaki. Si uwafuate huko🤣🤣🤣. Azov ni wachache ila tishio.

Warusi zaidi ya 12 wamekufa hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…