figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
-
- #1,461
Ivi wanawake wanaojikwatuaga na magwanda jeshini,mbona huku vitani siwaoni?
Nimeangalia picha za wapiganaji wa Ukraine 🇺🇦, holaaa wapigaji wana Russia 🇷🇺 nako hola,wamefichwa wapiii?
Naona kinaumana wanaume tu?