Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Hapa Magari 16 ya Urusi yaliharibiwa. Hii ni tarehe 13 Machi 2022
 
Angalia msafara wa Urusi unavyo shambuliwa
Your browser is not able to display this video.
 
Kyiv zilitumika Bayraktar TB2 UCAV Effective combat drone za Ukraine. Zilifanikiwa kuharibu zaidia ya magari ya kijeshi 20 ya Urusi, 5 Howitzers, 2 fuel trains na 6 Air Defence Systems.
Your browser is not able to display this video.
Your browser is not able to display this video.
 
Jeshi la Ukraine likiharibu Mizinga 3 aina ya T-72 na BMP-3s katika maeneo ua Luhansk
 
Mkuu simple tu em na wewe tufungulie hapa uzi tuyaone matango pori ya upande wa pili.
Sikiliza dogo, Russia kafungiwa internet, kwahio huoni mambo ya upande wake kilichobaki ni habari za upande mmoja ila cha moto wanakiona hao NATO na Ukraine
 
Hivi mtu binafsi anaruhusiwa kusogeza gari kama hili nyumbani kwake vita ikiisha analitumia!?
 
Mambo ya vita tena na huku!!
 
2S7 ya Ukraine
Your browser is not able to display this video.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Ukraine iliwapiga ambush Wanajeshi wa Urusi katika Mji wa Bucha ikabidi wakimbie na kutelekeza zana za kivita. wengine wakavaa nguo za kiraia. Walidakwa.
Your browser is not able to display this video.
 
Vikosi vya Ukraine vilivamia gafla convoy ya Urusi maeneo ya Luhansk Oblast. Urusi walipoteza vifaru aina ya T-72Bs na Magari mengi. Tatizo la Urusi walijiamini sana wakaja misururu kama siafu, ikawa ni kupigwa Ambushi tu kila baada ya Kilometa kadhaa.
Your browser is not able to display this video.
 
Ukraine walikamata kifaru cha Urusi aina ya T-80BV
 
Vikosi vya Jeshi la Urusi vilipofika Mkoani Sumy, Vifaru vyao vinne vilikwama kwwnye tope wakati wanafurumushwa. Ikabidi wavitelekeze na Ukraine wakajiokotea🤣
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…