figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #1,641
Hapa ni Mariupol, na hawa ni Marines
ndugu zao na Azov. Hahahaa
ndugu zao na Azov. Hahahaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu vipi hawa jamaa wa Legion kumbe wapo hadi ndani ya Urusi basi nilizani wapo tu Ukerein .Kama hadi wapo ndani Putin huu ndo mwisho wake.URUSI: Jeshi la Ukombozi la Urusi, LEGION linaendelea kushambulia Kambi za jeshi la Urusi. Hapa ni Mkoani Krasnoyarsk Mashariki mwa Urusi. Hii ni hifadhi kubwa ya polyethylene
View attachment 2212976
Mkuu vipi hawa jamaa wa Legion kumbe wapo hadi ndani ya Urusi basi nilizani wapo tu Ukerein .Kama hadi wapo ndani Putin huu ndo mwisho wake.
Mbona tunaambiwa kwamba wanajeshi pekee waliobaki Mariupol ndio walioko hapo kiwandani na wamezingirwa wakiwa ndani? hawa wanaopambana wako sehemu gani?
Mkuu, Mariupol ni Mkoa. Waliozungukwa ni Azov wanaopambana kutokea Azovstal iron and steel. Wapo pia Marines brigade hapo hapo Mariupol. Sema hapo Azovstal iron and steel ndo kama Makao Makuu yao. Hata wao wanapambana. Unadhani tangu waseme wamezingirwa sasa inaenda siku ya 20. Walikuwa wanasema watawakamata ndani ya Siku tatu.Mbona tunaambiwa kwamba wanajeshi pekee waliobaki Mariupol ndio walioko hapo kiwandani na wamezingirwa wakiwa ndani? hawa wanaopambana wako sehemu gani?
ukiangalia sura yake imekosa matumaini ya kuishiHuyu ni Azov. Picha kapiga jana Mjini Mariupol Azovstal
View attachment 2213610
Asante Mkuu,hapa sasa nimeelewa kwa taarifa za media nikadhani wanajeshi pekee waliobaki ni hao tu wa kiwandani kumbe mapambano yanaendelea na wengine wapo njeMkuu, Mariupol ni Mkoa. Waliozungukwa ni Azov wanaopambana kutokea Azovstal iron and steel. Wapo pia Marines brigade hapo hapo Mariupol. Sema hapo Azovstal iron and steel ndo kama Makao Makuu yao. Hata wao wanapambana. Unadhani tangu waseme wamezingirwa sasa inaenda siku ya 20. Walikuwa wanasema watawakamata ndani ya Siku tatu.
Changamoto wanaoipata Urusi ni kwamba hawawezi kwenda kwa Miguu wala Vifaru, Wanalipuliwa na kuteka. Azov wana mafunzo makali sana na Ule mji wameujenga kijeshi, kuna mahandaki ya chini kwa chini. Hivyo Urusi wanatumia ndege na Makombora ya Mbali kuuharibu Mji na waliomo ndani.