Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yule mkulima anayekusanya vifaru vya russia bado yupo?
Duuuh inabid ukrain wasiruhusu tena warusi kurudi eneo wanaloondoka .....sipati picha eti adui anapita anavyotaka kwenye barabara za nchi yangu namuangalia tu anaingia na kutoka anavyotaka daaah yaa ata kama ni mawe napiga hilo gariHapa ni Kherkyiv: Majeshi ya Urusi baada ya kuzidiwa, yameamua kurudi nyuma kujipanga upya
View attachment 2214819
Jeshi la Urusi huwa halithamini wanajeshi wao wakiwa vitani ni kawaida sana kutokuwapatia mahitaji muhimu kama vile vyakula, maji na dawa. Ikitokea wamezingirwa wanawaacha wajifie tu.Angalia jeshi la pili la dunia la Urusi walivyokuja kuiba Ukraine. Wanaiba televisheni, mashine za kufulia, baiskeli, simu, laptops. Lakini kuna kitu hakipo sawa. Mwanajeshi kuiba
View attachment 2212921
Unataka Update?wakuu, update yeyote mariupol!?.
Duuh yaani hawa jamaa kama vile hawana vita mbele yaoHawa ni Azov wakiwa mapumzigo kwenye handaki wakibadilishana mawazo.
View attachment 2216382
sawa mkuu nashukuru.Unataka Update?
Leo Azov wataongea na Wanahabari kutokea Mariupol. Wataongea kwa zoom. Hivyo Wasikilize wakupe Update. Link hii hapa
![]()
Welcome! You are invited to join a webinar: Azovstal Conference. After registering, you will receive a confirmation email about joining the webinar.
Conference time can changeus02web.zoom.us
Kama Urusi wakizingua, muda unaweza badilika. Viongozi wote wa Azov Wataongea. Usalama ukiwa mdogo, itarushwa Video ya Maongezi. Ila kwa sasa uwezekano wa kuongea upo Mkubwa. Wanaongea katikati ya Uwanja wa Vita hivyo, muda ukisogezwa usiogope.
Sema huyo bonge kafa jana. Ndo aliyewatoa raia kwenye handaki. Wakati anarudi Urusi wamapiga risasi yeye na wenzake. Wakafa wawili, 6 wakajeruhiwa. Ila wao ndo walikuwa wanawaongoza raia sababu raia hawajui njia za Azovstal. Baada ya kuhakikisha wamepanda basi, wakarudi kwenye mgodi wao. Wakati wanarudi wakaviziwa. Warusi wamekufa 5. Azov ni makomando, hawakuachi salamaDuuh yaani hawa jamaa kama vile hawana vita mbele yao
Duuuh R.I.P vipi wakitolewa wanapelekwa upande upi wa warusi au ukraineSema huyo bonge kafa jana. Ndo aliyewatoa raia kwenye handaki. Wakati anarudi Urusi wamapiga risasi yeye na wenzake. Wakafa wawili, 6 wakajeruhiwa. Ila wao ndo walikuwa wanawaongoza raia sababu raia hawajui njia za Azovstal. Baada ya kuhakikisha wamepanda basi, wakarudi kwenye mgodi wao. Wakati wanarudi wakaviziwa. Warusi wamekufa 5. Azov ni makomando, hawakuachi salama