Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

TV ya Ukraine imetangaza kwamba JFO (Joint Forces Operation) Mkoani Luhansk imeenda vizuri wiki hii. Wameharibu Vifaru 67, ndege za Kivita 2 na Drone aina ya UAVs 33 zimeangushwa

Backup by @ukrainebackup
 
Naskia wali karudi kwao canada

Wewe ni mfuasi na Shabiki wa Urusi, so usije hapa kujibaraguza. Tuache wafuasi wa Ukraine tujadili kuhusu mambo yetu. Nenda kwa thread za Warusi wenzio uulize haya maswali ya kijinga

Usichokijua Ukraine yupo na nchi 29 nyuma yake. Wanampa silaha, askari na vifaa vingine. Russia yupo peke ake hana msaada kutoka nchi yoyote. Mimi nasema russia ni mbabe

Hata mara ya kwanza mlisema kafa dakika chache baada ya kuingia Ukraine. Leo mnasema hajafa karudi kwao. Amini hivyo hivyo. Kwa taarifa yako Wali bila kuua Warusi 30 kwa siku halali. Sasa ni mwezi wa pili anapambana na malengo yanazidi. Kama unataka kujua habari zake, Donbas anaua hadi Wanajeshi 60 kwa siku.

Wewe na Wenzako mnapeleleza mjue yupo wapi. Sababu tangu siku ya kwanza mnamtafuta hamjampata. Hatuwaambii yupo wapi. Endelea kuamini karudi kwao, kwani tatizo liko wapi?

Mkuu, kwani akirudi inakuuma nini, si ndo mnapata unafuu? Mtasubiri sana na bado. Na hatuwaambii yupo wapi. Nasi twasema kweli karudi kwao ili mfurahi

Huyu ndo Olivier Lavigne-Ortiz aka WALI
20220509_003040.png
20220509_002812.jpg
20220509_002914.jpg
20220509_003314.jpg
 
Huyu mrusi alikuwa anatoa taarifa tik tok kwamba wameua Waukraine wote. Amepigwa kombora, wote wamekufa na alobaki hai kajeruhiwa. Kakamatwa kama kuku wa kisasa akaomba maji
 
Wewe ni mfuasi na Shabiki wa Urusi, so usije hapa kujibaraguza. Tuache wafuasi wa Ukraine tujadili kuhusu mambo yetu. Nenda kwa thread za Warusi wenzio uulize haya maswali ya kijinga

Hata mara ya kwanza mlisema kafa dakika chache baada ya kuingia Ukraine. Leo mnasema hajafa karudi kwao. Amini hivyo hivyo. Kwa taarifa yako Wali bila kuua Warusi 30 kwa siku halali. Sasa ni mwezi wa pili anapambana na malengo yanazidi. Kama unataka kujua habari zake, Donbas anaua hadi Wanajeshi 60 kwa siku.

Wewe na Wenzako mnapeleleza mjue yupo wapi. Sababu tangu siku ya kwanza mnamtafuta hamjampata. Hatuwaambii yupo wapi. Endelea kuamini karudi kwao, kwani tatizo liko wapi?

Mkuu, kwani akirudi inakuuma nini, si ndo mnapata unafuu? Mtasubiri sana na bado. Na hatuwaambii yupo wapi. Nasi twasema kweli karudi kwao ili mfurahi

Huyu ndo Olivier Lavigne-Ortiz aka WALI
View attachment 2217461View attachment 2217463View attachment 2217464View attachment 2217466
Mbona unakuwa mkali soma kwanza hapo👇👇👇
Thread 'Yule Sniper Bora Duniani wa Canada (Wali) aliyeenda Vitani Ukraine kupigana na majeshi ya Russia aelezea namna alivyopambana Ukraine' Yule Sniper Bora Duniani wa Canada (Wali) aliyeenda Vitani Ukraine kupigana na majeshi ya Russia aelezea namna alivyopambana Ukraine
 
Wataalam wa Vita, wanasema Urusi haijawahi kushinda Vita yoyote tangu kuumbwa kwake. Nimeanza kuamini
Picha. Maiti za Urusi zikipelekwa jalalani. Hamna wa kuwazika
View attachment 2217487
Inaweza kuwa kweli kwasababu hata vita ya pili kama siyo Marekani kumsaidia kwa kumpa silaha,vyakula, dawa na intelijensia wakisaidiana na Uingereza Mnazi alikuwa anampiga mapema mno.

Kumbuka Hitler alikuwa ameshaanza kuichungulia Moscow.

Alienda Finland kinchi kidogo na population ndogo kushinda Ukraine lakini alipigwa mpaka akaomba mazungumzo ya amani na kusainishana mkataba kwamba hataivamia tena.

Ndipo Hitler akamcheka Stalin kwamba ameshindwa kuivamia nchi ndogo hivyo, akaamua naye kuvunja makubaliano ya kuigawa Poland katikati. Akaanzisha Operation Barborasa mwaka 1941 kumuenzi mfalme wa Italy wa karne ya 15 kama sijakosea.

Kwahiyo unachosema kinaweza kuwa kweli hata kama akishinda ni kwa kusaidiwa na wakati huo huo anakuwa ameaua wanajeshi wake na raia wengi sana.

Ukiangalia ile vita ya pili inasemekana watu zaidi milioni 65 walikufa. Lakini nchi ambayo watu wake wengi walikufa ni Urusi zaidi ya milioni 25.

Hii ni kwasababu mbinu zao za upiganaji si nzuri wanaamini no step back , mtu anaenda uelekeo huo huo mahali machine gun inapiga, ukielekeo uelekeo mwingine unapigwa shaba na kiongozi wako kwamba una dissert. Sijui wanajivunia wingi wao (personnel).

Mipango mikakati ya vita si mizuri.Ukraine kwa Urusi ni aibu alitakiwa awe ameshamaliza kazi ndani ya zile siku 3.Watu wanasema eti Ukraine anapewa jeuri na Marekani na NATO, ni sawa kwa upande mwingine kwani kabla hajavamia hakujua kwamba atasaidiwa?

Na kama alijua alipuuzia kwa kuamini kwamba atampiga jirani yake, intelijensia yake haikujua kwamba Ukraine atasaidiwa,kama alijua alipuuzia kwa kujiona yeye ni bora.

Lakini aliambiwa pia kwamba Ukraine haitakuwa peke yake. Asilalamike kwamba anasaidiwa apambane nao wote ili tumpe heshima yake. Huwezi kuamka asubuhi unasema unaenda kumpiga jirani yako kwasababu zako binafsi halafu watu wengine wakuache tu utambe ifike mahali dunia tuheshimiane sote.
 
Back
Top Bottom