Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Balozi wa Urusi nchini Poland kapigwa chata ya rangi nyekundu kama ishara ya umwagaji damu Ukraine
 
Unaambiwa Mkoani Kharkiv.

Kikosi cha 227th Territorial Defence Battalion cha Ukraine kimedai kwamba leo Wameweza kukomboa Wilaya za Verkhnyi Saltiv, Zamulivka, Bayrak na Rubizhne. Huu ni Ushindi Mkubwa.
20220510_001343.jpg
 
Kifaru cha Urusi aina ya T-90M kilivyo sambalatishwa Wilayani Staryi Saltiv Mkoani Kharkiv
 
Leo nakuonesheni live jinsi Azov walivyopambana na Urusi Mkoani Mariupol. Askari mmoja wa Azov, bulletproof vest aloivaa ndo ilimuokoa. Jamaa hajakata Tamaa
 
Bendera ya Ukraine bado inapepea mariupol Azov Walipoweka Kambi yao. Hii inamanisha bado wanatawala hiyo semu. Hakika Viwandani ni Nyumbani mwa Azov. Azov wsmepandisha hii bendera tarehe 09/05/2022
 
Yaami Urusi wamekuja Ukraine kuiba. Leo wamefurumushwa, wakaacha vitu walivyoiba. Nguo, mashine za kufuria nguo, chupi na mapochi wqlivyoiba madukani. Cheni, Saa nk
 
Askari wa Marekani wakiwafundisha Ukraine jinsi ya kutumia Silaha aina ya M777 howitzer. Tangu Wiki iloisha wanafundishwa kutumia baadhi ya Silaha zilizotoka Marrkani
 
Huko tunapoenda Vita zitapiganwa kwa drone, angalia jamaa wanawachora Urusi kwenye Screen bila wao kujijua. Drone ni hatari sana.. Halafu inakua juu sana imeganda tu. Sijafanikiwa kupata picha ya Drone aina ya Switchblade ambazo USA wamewapa Ukraine. Nadhani bado wanafundishwa kuzitumia. Ni mabomu yanahokata kona, yanapanda na kushuka, kushoto au kulia

Hii Video drone ya kivit ya kawaida tu sema ya rangi
 
Tatehe 09 May 2022 ilikuwa ni Paredi ya siku ya Uhuru wa Urusi. Basi wakaandaa Paredi ya Meli na boat kwenye Black Sea. Ukraine ikateketeza vyote na paredi ikaishia hapo🤣🤣
 
Back
Top Bottom