Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Hapa ni Urusi Mkoani Khabarovsk Krai
1652343716617.png
 
Ndani ya Kifaru aina ya 2S1 Gvozdika. Welcome to Ukraine. Babu kaupiga mwingi
 
Huyu ni Dada wa Ukraine akiendesha Kifaru msitari wa mbele
 
Urusi tumewashambulia Siverskyi Walipotaka kuvuka mto Donets

Tumeweza kuhesabu na kukuta tumelipua vifaru 28 vya Urusi aina ya BMP/BMD, Vifaru 6 vya Urusi aina ya BTR/similar armour, kifaru 1 aina ya T-72B, gari 1 moja la mizigo na , MT-LB moja
20220512_195908.jpg
 
Back
Top Bottom