7seven
JF-Expert Member
- Mar 27, 2022
- 3,729
- 7,966
Hawa LEGION wako nchi nzima maana kama ni karibu na Japan itakuwa ni karibu na Siberia kusini Mashariki mwa Russia.Wiki iloisha Urusi walituumiza. Lakini sasa Wiki hii tumewafaidi sana. Viva Ukraine
URUSI: Ghala la kuhifadhia silaha za kijeshi limelipuliwa huko Khabarovsk Krai (karibu na Japani) LEGION[emoji109]
View attachment 2221912
Target yao ni miundombinu ya muhimu ya Russia wakimaliza ghala za mafuta na silaha wanakuja kwenye madaraja na gesi.
Hii vita mpaka iishe inaweza kumuweka Russia pabaya kwa uchumi kwasababu mpaka sasa ameshapoteza sana huko Ukraine,Sasa hivi wameingia nchini mwake.
Uzuri wa Ukraine ana faida kubwa moja nchi yake itajengwa na EU na Marekani hata kama ni kwa msaada lakini hayatakuwa masharti magumu tofauti na Russia ambao watajenga nchi yao wenyewe na pengine kutakiwa kuwalipa Waukraine.Itamuumiza kwa upande mwingine hata kama akishinda
Shirika lao la ujasusi FSB halijang'amua kweli kinachoendelea au wameamua kuacha liwalo na liwe wamechoshwa na hii vita kwa kuona haina umuhimu kwao.
Hivi mkuu umeshapata dondoo zozote zinazohusiana na ujumbe wa leo wa Biden uliotumwa kwa Putin kupitia balozi wake(US).