Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Donetsk
20220514_093219.jpg
20220514_093217.png
20220514_093049.jpg
20220514_092846.jpg
20220514_092844.jpg
20220514_092842.jpg
20220514_092839.jpg
 
Sasa huyu Mkulima hiki kifaru atakitumia wapi? Sidhani kama kinafaa mambo ya Kilimo. Hiki ni kifaru cha Urusi aina ya TOS-1A thermobaric MLRS BM-1 launcher. MLRS maana yake ni Multiple Launch Rocket System. Bonyeza hapo[ ] kuzoom
View attachment 2223774
Ipo Full loaded🤣🤣
View attachment 2223790
Hich kifaru kazi yake kubwa ni kulegeza nguvu ya adui kwa kushumbulia maeneo yote ya ulinzi, kinapiga makombora 21 na kombora moja danger ni one acre. Hii ni lose in war, ajabu sasa huyo mkulima sijui anaenda kufanya nini hiyo bm.
 
Kuna baadhi ya Silaha hazijaanza kutumika kwasababu bado wanafundishwa Jinsi ya Kuzitumia. Ni za kisasa zaidi na Teknolojia ya hali ya juu. Inadaiwa ndo Mtego wa Kwanza Ukraine wametega Ukaua sana tangu Vita ianze
Kuna video clip zinaonesha ukraine wanavyotumia game kuangamiza askari wa russia , naomba kama una detailed information ni hii kitu unisaidie.
 
Azov bado wapo Azovstal
 
Hii ni Drone. Unasema hii?
View attachment 2224053
Mkuu hongera Sana kwa updates zako murua lakini Kuna kitu nimekigundua kwenye hii vita.Kumbe USA na NATO Wana uwezo wa kimaliza hii vita hata ndani ya wiki moja tu lakini wanachokifanya ni kudiley ili kuumiza uchumi wa Rusia .Ushahidi wa hili ni Kila phase ya utumaji wa silaha kunakua na ubora tofauti na phase nyingine.

Na Jana mkuu wa ujasusi wa jeshi la Ukureine kasema hii vita itafika hadi mwisho wa mwaka huu na mapambano kamili ni mwezi Agosti na lengo lao Sasa hivi ni kupindua Serikali ya Putin.
 
Putin hana Maisha Marefu. CIA wamefanikiwa kuunda jeshi ndani ya Jeshi Urusi. Hawa waasi wa LEGION lazima wamtoe roho Putin. USA itakachofanya ni kuwawezesha tu. Azov wakikutana na LEGION, Urusi hatakuwa na chake ndo maana anawabana sana AZOV. Azov wana mafunzo ya kivita ya hali ya juu kutoka Magaribi na tangu 2014 wao wapo Vitani na Urusi. Kila mtu ana Visasi na mwenzake.
 
Siku zinavyoendelea ndivyo Urusi inaumia. Urusi atatoka Ukraine, hawa LEGION watasaidiwa Eauteke Mkoa wa Belgorod nchini Urusi ambapo wataanza songa mbele kuanzia hapo. Belgorod ishalegezwa, ndege za Ukraine zinafika na kurudi, zinafanya mashambulizi zinarudi. Warusi wepesi sana, Wameshindwa kuteka battalion mbili zilizopo Mariupol mwezi wa pili sasa. Ndo Maana Legion wanajiamini.
Screenshot_20220514-124644.png
 
Hich kifaru kazi yake kubwa ni kulegeza nguvu ya adui kwa kushumbulia maeneo yote ya ulinzi, kinapiga makombora 21 na kombora moja danger ni one acre. Hii ni lose in war, ajabu sasa huyo mkulima sijui anaenda kufanya nini hiyo bm.
Unaweza kukuta anafanya smuggling deals,sasa hivi nchi iko kwenye mikakati ya kushinda vita kwahiyo mambo mengine siyo kipaumbele sana.Vita si nzuri hata kidogo.
 
Mkuu hongera Sana kwa updates zako murua lakini Kuna kitu nimekigundua kwenye hii vita.Kumbe USA na NATO Wana uwezo wa kimaliza hii vita hata ndani ya wiki moja tu lakini wanachokifanya ni kudiley ili kuumiza uchumi wa Rusia .Ushahidi wa hili ni Kila phase ya utumaji wa silaha kunakua na ubora tofauti na phase nyingine.

Na Jana mkuu wa ujasusi wa jeshi la Ukureine kasema hii vita itafika hadi mwisho wa mwaka huu na mapambano kamili ni mwezi Agosti na lengo lao Sasa hivi ni kupindua Serikali ya Putin.
Yaani mawazo yako ni sawa na ya kwangu. Hili jambo nilishaliona kitambo sana, hapa anayetafutwa ni Putin wala siyo Russia, Warussia wakiichoka hii ndio wataanza vugu vugu la kumg'oa, tazama hawa LEGION ni product ya hii vita.
 
Siku zinavyoendelea ndivyo Urusi inaumia. Urusi atatoka Ukraine, hawa LEGION watasaidiwa Eauteke Mkoa wa Belgorod nchini Urusi ambapo wataanza songa mbele kuanzia hapo. Belgorod ishalegezwa, ndege za Ukraine zinafika na kurudi, zinafanya mashambulizi zinarudi. Warusi wepesi sana, Wameshindwa kuteka battalion mbili zilizopo Mariupol mwezi wa pili sasa. Ndo Maana Legion wanajiamini.
View attachment 2224077
Ameanza kupigiwa kwenye ardhi yake mtu aliyesema alikwenda kufanya operation Ukraine kwa siku 3 tu,zimezaa takribani siku 90,kama vita itakwenda mpaka mwezi wa 12 Russia atakuwa ameumiza uchumi wake vibaya mno.

Ila nimejifunza kitu nchi yoyote ambayo huwa inamvamia mwenzake kwa majigambo na sababu binafsi huwa haishindi vita au hupata matokeo ambayo haikuyategemea na kwa hasara kubwa.
 
Hii vita ikikaa mwaka, Urusi itataabika sana. Wenzake NATO wana hela, yeye anategemea Kodi. Ana vifaa vingi vya jeshi ila Outdated, havina shabaha. Biashara imekufa, mafuta na gesi havitoki. Waziri wa fedha Urusi analia. Ajira zimepungua. Hasira zitarudi kwa Putin.
 
Back
Top Bottom