Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Hapa Kharkiv leo Warusi wamepigwa na kurudishwa nyuma Km 50 kwahiyo tunaweza kusema wamesogezwa nje mji na Ukraine imetangaza kuukomboa.
Mkuu mbona hii tangu jana? Tena zimetumika baiskeli za Umeme. Inakuja kimya kimya. Warusi wamekimbia wakaacha Viatu
Your browser is not able to display this video.
 
Mji unaofuata ni Donetsk. Ila bado Mariupol ipo mbali. Hadi Jeshi la Ukraine wafike sio leo. Nadhani Jumatatu tunaweza ikomboa Donetsk. Izyum ndo ilikuwa inachelewesha. Tukiipata Mariupol nasi tunawazingira Wanajeshi wa Urusi waliopo Melitopol. Subiri muone huu Mchezo.
 
Kwa silaha na idadi kubwa ya personnel alijua anashinda mapema sana lakini matokeo yamekuwa ndivyo sivyo.
Mkuu Putin alikariri alishazoea alibeba crimea kirahisi tu kama mali yake. Sasa this time hakupiga hesabu zake vizuri na hii si kwamba eti tunaleta propaganda kwamba hawana intelligrnce nzuri lakini ukirejea wakati wanaanza operation walianza kwa nguvu sana za mashambulizi bila resistance kubwa ikafika mahali Putin akaanza kuwatahadhatisha wanajeshi wa ukraine waweke silaha chini wampindue Zelensky.

Kumbe mambo yanabadilika kaingia chaka bovu this time kama akishinda basi ni kwa jasho na damu na hasara chungu nzima.
 
Kharkiv, Urusi wamepoteza sana wamerudi kwao. Sababu Ukraine wamechukua Sehemu yote hadi Mpakani. Kama kukimbia wamekimbilia Urusi
Your browser is not able to display this video.
 
Putin hawezi kushinda hii Vita. Kwa kuwa alishindwa kuzuia Silaha kuingi Ukraine, basi kila kitu atashimdwa. Anapigwa na Silaha za Kisasa. Analeta Vitisho vya nyuklia lakini NATO ndo nyumbani mwa Nyuklia naye anajua. Moscow itachakazwa sana.. Mbaya wa Urusi ni LEGION
 
Vita ya kutumia drone inawatesa sana Urusi
Your browser is not able to display this video.
 
Kifaru cha Urusi aina ya T-90M “Proryv” ki a thamani ya $4.5 million kimeharibiwa na Silaha ya Ukraine aina ya Carl Gustaf (Grg m/48), yenye thamani ya $3000.
Your browser is not able to display this video.
 
Silaha aina ya Carl Gustaf ikiwa kazini Kharkiv. Silaha ina shabaha sana
Your browser is not able to display this video.
 
Jamaa kaamua kutengeneza gari yake ili Kupambana na Urusi.
Your browser is not able to display this video.
Your browser is not able to display this video.
 
Ngoja niwapeleke Urusi Kidogo. Hawa Warusi wanafurahia kuona Ukraine wanapata tabu, lakini wanaogopa Milio ya Makombora na risasi balaa

Mamlaka Mkoani Belgorod Urusi wamezema Nyumba 280 na Magati 85 na Makombora yaliyokea Ukraine. LEGION wanaupiga Mwingi
Your browser is not able to display this video.
Your browser is not able to display this video.
 
Ni kweli kabisa na hapo ndipo nguvu ya umma itatumika kumuondoa madarakani maana hata askari wake watachoka kupigana vita isiyokuwa na faida.

US anasema kuna baadhi ya meli zake za kivita ataziharibu ziko outdated. Hii vita imewafungua macho wengi. Ubora wa Russia kwenye jeshi unaweza kuporomoka zaidi na kupoteza ushawishi wake duniani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…