figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #1,861
Hawa ndege huwa wachokozi sana. Huyu ndenge Kasuku, kafundishwa na NATO
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu mbona hii tangu jana? Tena zimetumika baiskeli za Umeme. Inakuja kimya kimya. Warusi wamekimbia wakaacha ViatuHapa Kharkiv leo Warusi wamepigwa na kurudishwa nyuma Km 50 kwahiyo tunaweza kusema wamesogezwa nje mji na Ukraine imetangaza kuukomboa.
Mkuu Putin alikariri alishazoea alibeba crimea kirahisi tu kama mali yake. Sasa this time hakupiga hesabu zake vizuri na hii si kwamba eti tunaleta propaganda kwamba hawana intelligrnce nzuri lakini ukirejea wakati wanaanza operation walianza kwa nguvu sana za mashambulizi bila resistance kubwa ikafika mahali Putin akaanza kuwatahadhatisha wanajeshi wa ukraine waweke silaha chini wampindue Zelensky.Kwa silaha na idadi kubwa ya personnel alijua anashinda mapema sana lakini matokeo yamekuwa ndivyo sivyo.
Putin hawezi kushinda hii Vita. Kwa kuwa alishindwa kuzuia Silaha kuingi Ukraine, basi kila kitu atashimdwa. Anapigwa na Silaha za Kisasa. Analeta Vitisho vya nyuklia lakini NATO ndo nyumbani mwa Nyuklia naye anajua. Moscow itachakazwa sana.. Mbaya wa Urusi ni LEGIONMkuu Putin alikariri alishazoea alibeba crimea kirahisi tu kama mali yake. Sasa this time hakupiga hesabu zake vizuri na hii si kwamba eti tunaleta propaganda kwamba hawana intelligrnce nzuri lakini ukirejea wakati wanaanza operation walianza kwa nguvu sana za mashambulizi bila resistance kubwa ikafika mahali Putin akaanza kuwatahadhatisha wanajeshi wa ukraine waweke silaha chini wampindue Zelensky.
Kumbe mambo yanabadilika kaingia chaka bovu this time kama akishinda basi ni kwa jasho na damu na hasara chungu nzima.
Hii ndio kiboko. Kila mtu aonje maumivu nyumbani kwakeBelgorod Urusi
View attachment 2224488
Marekani wamemuinua sana Mr. ComedianSilaha za Kimarekani aina ya M777 howitzers zikiwa kazini Ukraine
View attachment 2224456
Mkuu; Majuto ni mjukuu.Putin viongozi kibao walimshauri asivamie Ukraine akaenderea kukaza shingo ona sasa kinacho mkuta
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Ni kweli kabisa na hapo ndipo nguvu ya umma itatumika kumuondoa madarakani maana hata askari wake watachoka kupigana vita isiyokuwa na faida.Hii vita ikikaa mwaka, Urusi itataabika sana. Wenzake NATO wana hela, yeye anategemea Kodi. Ana vifaa vingi vya jeshi ila Outdated, havina shabaha. Biashara imekufa, mafuta na gesi havitoki. Waziri wa fedha Urusi analia. Ajira zimepungua. Hasira zitarudi kwa Putin.
Dah! Nilikuwa sijaipata hii [emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu mbona hii tangu jana? Tena zimetumika baiskeli za Umeme. Inakuja kimya kimya. Warusi wamekimbia wakaacha Viatu
View attachment 2224244