Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Haya magari yametelekezwa. So tutayatumia dhidi ya Urusi
20220331_100132.jpg
20220331_100130.jpg
20220331_100052.jpg
 
Yani we jamaa ni fala sana. Hakuna post hata moja umeweka inayoonyesha kuwa Ukraine nae anapigwa. Zote umeweka taarifa za uongo na kweli kuwa Mrusi anachezea kichapo.

Urasikia vifaru ya Urusi vikiungua, Helikopta ya urusi baada ya kudunguliwa na Ukraine na blah blah nyingine.

Acha utoto.
We mwenyewe unaona mazana yao yalivyo mabovu, unategemea nini hapo? Unapeleka Vitani silaha zilizochika halafu unategemea kushinda?
 
Wanajeshi wa Ukraine wapo tayari kwa Mapambano
 
Kyiv imeshatekwa una hiyo habari!!??
au unaposti posti kujifurahisha!
Una upeo Mdogo kuhusu Ukraine. Tofautisha Bucha na Kherkyiv. Pia Tofautisha kherkyiv na Kyiv. Tangu mwando nakuona na fake news zako. Anzisha thead yako uweke fake news. Jinga sana
 
Una upeo Mdogo kuhusu Ukraine. Tofautisha Bucha na Kherkyiv. Pia Tofautisha kherkyiv na Kyiv. Tangu mwando nakuona na fake news zako. Anzisha thead yako uweke fake news. Jinga sana
Kima ww umekuja kuleta mapropaganda ya kijinga pumbav

Screenshot_20220331-164003.png
 
Kyiv imeshatekwa una hiyo habari!!??
au unaposti posti kujifurahisha!
Warusi wenzako hao hapo waliojaribu kujipendekeza kherkyiv. Na leo 31 Machi 2022 usiku tunawamwaga ubongo. Hatuna muda wa kulinda mateka wavamizi
 
Kima ww umekuja kuleta mapropaganda ya kijinga pumbav

View attachment 2170545
Kawafukue uwanywe damu Warusi. Si unawamependa sana. Nlikuwa nawahurumia nawawekea picha haziumizi sasa mtakoma. Tumewaleta hawa mateka waone wenzako 49 walokufa then tutawaacha wawambie wenzao
 
Kima ww umekuja kuleta mapropaganda ya kijinga pumbav

View attachment 2170545
Mwenzako anawaka moto huko. Kauzime. Ngoja niachane na wewe nipost mambo ya maana. Nina Video za Warusi zaidi ya 1000 wakiwa wanakata roho. Nina video nyingi wakiwa wamwkufa. Umekuja ukidhani mimi mwenzio. Naonge kwa picha na vitendo. Tuzungumzie vita sio watu kufa. Tupo Frontline. Tunaweza kikupa kila picha ya Mrusi alokufa unayoitaka. Jinga sana wewe
 
Back
Top Bottom