Huyu figganigga atajipigia sana mademu wa kibongo maana anavyoripoti utadhani yupo kwenye epicenter ya vita kumbe anatafsiri toka kwenye blogs za pro NATO.
Askari wa Urusi alikuwa anaishambulia drone ya Ukraine, risasi zilipo muishia ikabidi akimbilie kwa wenzake. Drone ikawa ianmfuata kwa juu. Wote wamelipuliwa
Kifaru cha Urusi aina ya T-72B kilitelekezwa Mkoani Chernihiv. Hakijashambuliwa. Inaonekana walipata ajali wakati wanakimbizwa warudi kwao. Hii Vita Ukraine itashinda
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.