Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Poland wanatafuta Vifaru vyao vya kisasa zaidi ya 100 ambavyo Vimepotea kwenye Stoo yao. Vifaru hivyo 100 vilivyo potea hivi karibuni, Wananchi wanadai Waliona Vifaru na Magari ya Jeshi yakielekea Mashariki mpakani mwa Poland na Ukraine 🤣
photo3187_large.jpg
Z2A81lY.jpeg
CE4yueG.jpg
20220412_065036.jpg
 
Dogo kachelewa hadi ndege ya Urusi ikasepa. Hii ambushi ilikuwa ya kufa mtu. Ila video imenichekesha sana japo ni Vita🤣
 
Jeshi la Ukraine limekamata gari auna ya 9P140 MRL (For the 220mm BM-27 Uragan system) la Urusi, inapelekwa Gereji then inarudi Uwanjani
20220412_175833.jpg
 
Kifaru cha Urusi aina ya PPRU-1(M) mobile air target acquisition radar na command center vya Urusi, viliharibiwa mjini Yahidne, Mkoani Chernihiv kwa pembeni kuna magari ya Ugavi mawili yameteketezwa pia.
20220412_180013.jpg
 
Ukraine wanawake wanaenda Msitari wa mbele, Putin atapona kweli? Askari aliyopo frontline anachagua moja. Kufa au kupona
20220412_180445.jpg
20220412_180500.jpg
 
Kifaru cha Urusi aina ya BMP-2. Wakuu picha zinatoka Mashariki mwa Ukraine
20220412_182657.jpg
20220412_182655.jpg
 
Vifaru vya Urusi vikikamatwa hii ndo geteji. Vinafuta nembo ya Z na kufanyiwa ukarabati vinarudi mzigoni
 
Angalia Drone ya Ukraine inavyo haribu Vifaru vya Urusi
 
Askari wa kujitolea wa Belarus anayekipiga Ukraine. Anasema ushindi ni kwa Ukraine, hamna kizuizi
 
Warusi washaanza kupata vidonge vyao
 
Dawa kwa Urusi
 
Back
Top Bottom