Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

T-80BVM cha Urusi
20220418_231218.jpg
 
Helkopta ya Urusi aina ya Ka-52. Hii ni attack Helkopta
20220418_233843.jpg
20220418_233840.jpg
20220418_233837.jpg
20220418_233834.jpg
 
Hii Helkopta ilikuwa na mbwembwe. Baada ya kushambuliwa ikalazimika itue. Tukaifyatua vizuri
 
Baadaye Urusi wamesema Helkopta wameilipua wenyewe ili isiangukie mikononi mwa Ukraine 🤣🤣🤣
IMG_20220418_235112_914.jpg
IMG_20220418_235109_580.jpg
IMG_20220418_235105_815.jpg
 
Warusi wana roho mbaya. Hawa wenzao wamejeruhiwa, baadala ya kuwabeba, wakawarushia bomu wafe mazima. Waliona watakuwa mzigo🤣🤣🤣
 
Azov wametuma hii picha. Hapa ni jinsi walivyo wateketeza Warusi
 
Back
Top Bottom