Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Silaha ya Marekani aina ya M777 howitzers ikiwa kazini Ukraine
 
Hii ni Meli ya Syria inaitwa "Finikia". Uturuki wameisimamisha kuendelea na Safari. Imebeba nafaka zilizoibiwa Ukraine. Urusi Majizi.
 
Angalia Msafara wa Urusi ulichifanyiwa Wilayani Kharkiv
 
Mafunzo yanaendelea. Wanafundishwa Mbinu mpya za Vita
 
Leo tena Urusi wametumia Silaha za Kemikali Viunga vya Izyum. Nashauri na Ukriane waanze kutumia tu. Juzi Urusi walizitumia lakini wakakana. Ni muda mwafaka Ukraine nayo ianze kutumia. Marekani naamini mzigo Wa Syria watakuwa wameuleta. Sababu Vitani unajiandaa kila kitu
20220517_235738.jpg
20220517_235735.jpg
20220517_235741.jpg
20220517_235743.jpg
 
152mm 2S3 Akatsiya self-propelled howitzers za Urusi zimeteketezwa na Jeshi la Ukraine karibu na Mji wa Izyum!
 
Kitengo cha drone cha Ukraine kikiwa na EDM4S (Electronic Drone Mitigation System)
 
Wanajeshi wa Ukraine tayari wamepokea msaada kutoka Uholanzi. Hiki ni kifaru cha kubebea Wanajeshi na Wafanyakazi wa Kijeshi Uwanja wa Vita aina ya YPR-765
 
Back
Top Bottom