Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Baadhi ya Warusi sasa ni mifupa tu.
Waliingia Ukraine kwa Mbwembwe. Sasa wakiona Mwanajeshi wa Ukraine wanakimbia balaa
IMG_20220819_134519_608.jpg
IMG_20220819_134517_342.jpg
 
Angalia angalia kikosi cha drone cha "Freedom" battalion cha 4th brigade inayofanya kazi na NSU, kilivyo wachachafya Warusi. Wavamizi Warusi, wamelia na kusaga meno
 
Hii ni parade ya vifaa vya kijeshi vya Urusi vilivyotekwa Ukraine. Wananchi watashuhudia na kupiga navyo picha siku ya Uhuru
 
Back
Top Bottom