figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #5,201
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa Mamluki wanatoka nchi gani? Mbona huyo wa kushoto ni kama Mkorea?Hawa ni Mercenaries wa Urusi, baada ya kupekekewa moto hadi Wakaretreat huko Donetsk, wamegoma kurudi Frontline hadi wapewe silaha nzito kama Ukraine
View attachment 2330721
Nchi tofauti wanaofungamana na UrusiHawa Mamluki wanatoka nchi gani? Mbona huyo wa kushoto ni kama Mkorea?
Yan kama mti wa mpapai. 😂 😂Huu ni mnara wa Mawasilino wa Urusi, waliuweka mpani mwa Ukraine. Dorone aina ya kamikaze ilibidi iende Urusi kuuangusha mnara ili kukata mawasiliano Urusi wapoteane Ukraine
View attachment 2330723