Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Akiendelea na kiburi atasababisha wanajeshi wake wengi kuuwawa. Mizoga tunayoshuhudia ilitosha kumfanya ajitafakari upya.

Niliwahi kusema kuwa ni Bora angesingizia kuwa operation aliyopanga imekamilika na akaondoa majeshi yake. angepata aibu kuliko fedheha anayopata sasa hivi.

Siku Crimea ikirudi Ukraine, Georgia nao watataka kuyakomboa majimbo yao waliyonyang'anywa na Putin kwa ubabe. Time will tell.
Ni kweli kwamba kwa Mapito anayopitia Mrusi kwa sasa, nchi nyingine zilizodhulumiwa ardhi yao sasa watahamasika kwa yanayojitokeza kwenye hii vita baina ya Mrussi na Ukraine na wao watasimama na kudai ardhi yao iliyopokonywa kiubabe kutoka kwa Mrussi.
Mrussi kwa sasa ni mchovu na atachoka sana kwani atageuzwa kuwa kichwa cha mwenda wazimu mahali pa kujifunzia kunyoa.
 
Kwan wakiamua wanashindwa ..kilichozuia ni diplomatic defense,, Russia isiharibu mahusiano na nchi zingine ambazo zinaitambua Ukraine kama nchi
Mkuu, mahusiano ya Russia na nchi zingine yalishaharibika kitambo. Mrussi amebaki kuwa na mahusiano na mataifa machache ya Mashariki na hata hivyo hayo mataifa wamekaa kimachale-machale sio ule uhusiano unaotegemewa e.g. ukipatwa na janga watakuja kukusaidia.
Ukraine ni nchi iliyokamilika na inatambulika na UN i.e. Kimataifa. Hakuna sababu eti mahusiano yataharibika kwa nchi zinazoitambua Ukraine kama nchi.
 
Kwan wakiamua wanashindwa ..kilichozuia ni diplomatic defense,, Russia isiharibu mahusiano na nchi zingine ambazo zinaitambua Ukraine kama nchi
Mimi nilijua uko na sababu zenye mashiko labda ni strong hold ya urusi kumbe na wewe unaleta porojo kama wenzako.

Unataka kusema ule msafara wa km 64 kwenda kyv ni kwamba Russia alikuwa hajaamua kuichukua? Huwa mnatumiaga nini kabla ya kupost?
 
Kumbuka Russia haijawa defeated Kyiv Bali iliwithdraw wanajeshi wake ili kutengeneza mazingira ya uaminifu Kwa ajili ya mazunguMzo ya amani
 
Kumbuka Russia haijawa defeated Kyiv Bali iliwithdraw wanajeshi wake ili kutengeneza mazingira ya uaminifu Kwa ajili ya mazunguMzo ya amani
Kilichomzuia kufanya hivyo tangu mwanzoni ni nini? Amekaidi maoni na ushauri; ameingiza majeshi Ukraine ameua watu kiholela halafu sasa unamkingia kifua eti amewithdraw wanajeshi wake kwa nia njema. Big NO. Kwa nini usiwe muwazi kwamba amepata mkong'oto wa uhakika na sasa akili imerudi na amejitambua kwamba alichofanya ni ujinga aliokubuhu?
 
Kwan wakiamua wanashindwa ..kilichozuia ni diplomatic defense,, Russia isiharibu mahusiano na nchi zingine ambazo zinaitambua Ukraine kama nchi
Nilijua una sababu ya maana, kumbe umejaa ushuzi tu. Jitahidi kutumia akili yako vizuri. Kama huna hoja Bora ukae kimya, inasaidia kuficha ujinga.
 
Back
Top Bottom