Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Wakati huo Kremlin inawaza kupiga infrastructures za kiraia zaidi. Inataka waparalyse ufanyaji kazi wa serikali ya Kiev katika kudeliver huduma muhimu kwa wananchi na jeshi ili kulifanya Jeshi la Ukraine likose cordination frontline. Anayeongea ni ofisa wa Kremlin meenye dhamana ya mambo ya mahusiano ya kiethnic huko Russia.

View attachment 2384565
Mbona serikali haiku paralysed wakati walipoivamia Ukraine ikiwa bado haijajipanga kwa mashambulizi na wakaanza kupiga hovyo hovyo infrastructure na kuua raia. Leo hii ndo kweli waweze ku paralysed serikali. Naona akili zao zimechanganyikiwa hawajielewi.
 
Julai kuna wafungwa wa vita wakiwemo Azovstal walikuwa kwenye gereza la Olenivka, lile gereza lilishambuliwa na Wafungwa wakafa, ambapo Urusi ilidai Ukraine ndo Imeshambulia Gereza huku Ukraine wakisema ni Urusi. Ukweli ilikuwa ni Urusi sababu lile eneo lilikuwa lipo chini ya majeshi ya Urusi.

Wale Wanajeshi waliokufa kwenyr gereza la Olenivka Mkoani Donetsk wamerudishwa kwa kubadilishana. Urusi wameleta maiti 62. Tangu Julai yalikuwepo majadiliano ya kuwarudisha hawa PoW Waliofia Gerezani. Wengi ni Azov
0ghrt3i_russia-ukraine-war-afp_625x300_19_June_22.jpg
 
Huyu alikuwa kocha wa mpira kutoka Israel. Alikuwa anafundisha Ukraine. Alikuwa Mwanajeshi wa kujitolea wa Ukriane. Hawa 32, na mwili wake umebadilishwa na Wafungwa. Hao wengine wapo hai
Nimekusoma vizuri. Thanks
 
Hadi raha. Kitu kinatema chafya. Hakuna nyani anayekatiza kwenye anga lake. Ngoja tusubiri, yajayo yanafurahisha.
Aisee! Mm nikadhani ni mashine ya kupuliza Salfa kwenye mikorosho kwa jinsi inavyotimua vumbi.
 
Ukraine imefanikiwa kukomboa Novohryhorivka, Nova Kamianka, Tryfonivka na Chervone Wilayani Beryslav Mkoani Kherson
View attachment 2384883
View attachment 2384887
Frontline wakiwa Chervone leo
Yani safi mno. Hongereni sana wapiganaji wa Ukraine. Shikamoo Frontline ya Ukraine. Tunawaombea kwa Mungu awajalie wepesi msonge mbele kumfyagilia mbali huyo joka kutoka kwenye ardhi ya Ukraine.
 
Leo asubuhi, Frontline ya Ukraine imeangusha Helkopta 4 za Urusi aina ya Ka-52 Kherson. Zimeangushwa kati ya saa 8:40 am na 8:58 am. Zilikuwa zinatoa backup kwa majeshi ya Urusi Frontline. Helkopta moja inakadiliwa kuwa na thamani ya dola 60 Million.
20221012_172350.jpg
 
Wanajeshi 10,000 wa Ukraine waliokuwa Mafunzoni Uingereza, leo wamehitimu na Wanarudi kuilinda Nchi yao. Moja kwa moja Frontline
View attachment 2384908
Mkuu; kuna kitu fulani amazing naskia kimetua Poland kwa mara ya kwanza katika historia ya dunia. Hicho kitu ni kizito, ni cha hewani nasikia hata rada iweje haikioni. Ni cha USA. Kama una details hebu tumegee.
 
NATO wamesema, sasa wanaanza kupeleka air defense systems Ukraine. Vikosi vya ardhini vinafanya vizuri sana.
View attachment 2384899
Hii ndo raha ya kuwa na marafiki wanaokupenda na kukutetea. Anga la Ukraine likilindwa dhidi ya makombora ya russia, kwenye ground battle walishatepeta, russia wataswagwa tu kama mbuzi.
 
Back
Top Bottom