Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata wakiwapeleka Urusi raia wa Ukraine. Haitabadili chochote kwa Russia kupata kipigo. Muhimu raia wawe salama.Eti wanahamisha raia uwanja wa vita....raia wenyewe ni wa Ukraine unawapeleka urusi, huko ni kujiua bila kujua....hadi hapo urusi haitokaa ikatulia kwa amani ...abadani....
Anatafuta uchochoro wa kutokea. Hata wewe ukisikia baadhi ya askari wako wanaomba mwongozo wa kujisalimisha kwa adui yako utafanyaje.Nimemsikiliza Putin Leo akiwa anaongea ni kama Jamaa anahitaji Sana wakae mezani Na Ukraine wayamaliza Ila ndio hivyo muhuni Zelesky ameshasema moto uko pale pale mpaka atakapoondoa vikosi vyake Ukraine
"........ni kama Jamaa anahitaji Sana wakae mezani Na Ukraine wayamaliza Ila ndio hivyo muhuni Zelesky ameshasema moto uko pale pale mpaka atakapoondoa vikosi vyake Ukraine"Nimemsikiliza Putin Leo akiwa anaongea ni kama Jamaa anahitaji Sana wakae mezani Na Ukraine wayamaliza Ila ndio hivyo muhuni Zelesky ameshasema moto uko pale pale mpaka atakapoondoa vikosi vyake Ukraine
Iko vzr mnoooBunge la Bunge la Baraza la Ulaya limeitambua Urusi kuwa nchi ya kigaidi. Wanachama 99 walipiga kura ya kuunga mkono, 1 hakupiga kura. Azimio hilo linatambua ushiriki wa Urusi katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuwa kinyume cha sheria
Slava Ukraine [emoji1255]Ukraine wakipisha na Msafara uliobeba Maiti ya Wanajeshi, Wanashuka kwenye Magari na kupiga Magoti kama ishara ya kutoa hesima ya mwisho kwa mashujaa wapigania nchi
View attachment 2386574
Itakua kweli kabisa. Imekaa vzrINadaiwa Mobilized waliopo Ukraine, wamemuua kamanda wao na kisha wakajisalimisha kwa majeshi ya Ukraine. Haijathibitishwa bado.
View attachment 2386585
Muhuni ni Sifa pia."........ni kama Jamaa anahitaji Sana wakae mezani Na Ukraine wayamaliza Ila ndio hivyo muhuni Zelesky ameshasema moto uko pale pale mpaka atakapoondoa vikosi vyake Ukraine"
Anahitaji sana wakae mezani? kwani Mwanzoni kilimzuia kitu gani kufanya hivyo? Kumbe kiburi kimeisha sivyo? Kumbe Ndo maana yuko desperate anajipigia mabomu hovyo hovyo maeneo ya raia kana kwamba hajui wanaume wako wapi. Jibu lake mwambieni ..Asubiri kidogo wanaume wakisha teka hivyo virushio vyake vya mabomu then watakaa mezani waweke hitimisho kwa kuzingatia vigezo vitakavyowekwa na Ukraine.
Halafu; Wewe Umtake radhi Zelesky kwani yy sio muhuni kama ulivyomuita. Yeye yuko smart, Anapigania HAKI za nchi yake halali ya Ukraine zilizoporwa na Mhuni Putin.
Walishazungumza. Putin anataka aachiwe mikoa motano ya Ukraine iwe Urusi ili na yeye aache kuishambulia Ukraine. Hamna wa kukubali. Pili, unapokuja kupost huku tumia lugha ya heshima au kaa kimya. Huwezi kumuita rais wetu Muhuni. Yaani unamchukulia Zelensky kama baba yako sio? Unaonesha una makuzi mabovu, huwezi kaa kwenye jamii iliyo starabikaNimemsikiliza Putin Leo akiwa anaongea ni kama Jamaa anahitaji Sana wakae mezani Na Ukraine wayamaliza Ila ndio hivyo muhuni Zelesky ameshasema moto uko pale pale mpaka atakapoondoa vikosi vyake Ukraine
Ataondoka sehemu zote. Moto anaopelekewa Kherson na Luhansk hauzimikiKwamba Putin anataka Ceasefire na ataondoka Kherson.... Tetesi tu
Kwamba aondoke kherson ila sehemu zingine zibaki kwake
Putin huenda ana tatizo la akili (mental health). Yaani unavamia nyumba ya mtu halafu unampangia achukue chumba kile na wewe uchukue vyumba vile. Ni mwendawazimu tu ndo anaweza kufikiria hivo.Kwamba Putin anataka Ceasefire na ataondoka Kherson.... Tetesi tu
Kwamba aondoke kherson ila sehemu zingine zibaki kwa
Ila sio sifa nzuri kwa mtu maarufu na mkubwa kivile.Muhuni ni Sifa pia.
Mbona muda wa majadiliano /mijadala ulishapita? Kinachotakiwa ni AONDOKE KWENYE ARDHI YA NCHI YA UKRAINE ALIYOJITWALIA KWA NGUVU La sivyo ataondolewa au ataondoka kwa LAZIMA. Eti sehemu zingine zibaki kwake. Nani alimwambia kwamba Ukraine anauza maeneo ya Ardhi??Kwamba Putin anataka Ceasefire na ataondoka Kherson.... Tetesi tu
Kwamba aondoke kherson ila sehemu zingine zibaki kwake
Kutokea huku tuliko; Good morning sir.