Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Eti wanahamisha raia uwanja wa vita....raia wenyewe ni wa Ukraine unawapeleka urusi, huko ni kujiua bila kujua....hadi hapo urusi haitokaa ikatulia kwa amani ...abadani....
 
Hata wakiwapeleka Urusi raia wa Ukraine. Haitabadili chochote kwa Russia kupata kipigo. Muhimu raia wawe salama.

Mzigo mpya wa maana umeshaaza kuingia Ukraine. Ngoja tusikilizie kuanzia next week.
 
Nimemsikiliza Putin Leo akiwa anaongea ni kama Jamaa anahitaji Sana wakae mezani Na Ukraine wayamaliza Ila ndio hivyo muhuni Zelesky ameshasema moto uko pale pale mpaka atakapoondoa vikosi vyake Ukraine
Anatafuta uchochoro wa kutokea. Hata wewe ukisikia baadhi ya askari wako wanaomba mwongozo wa kujisalimisha kwa adui yako utafanyaje.

Itakuwa aibu sana kwa Russia kufurushwa Ukraine ikiwemo Crimea kurudishwa. Hutaweza kukoromea hata vi nchi vidogo kama Latvia, Estonia, Lithuania Slovakia, Moldova, badala yake vitakukoromea Vikijua baba yao (USA & NATO) yuko ndani kapumzika.
 
Nimemsikiliza Putin Leo akiwa anaongea ni kama Jamaa anahitaji Sana wakae mezani Na Ukraine wayamaliza Ila ndio hivyo muhuni Zelesky ameshasema moto uko pale pale mpaka atakapoondoa vikosi vyake Ukraine
"........ni kama Jamaa anahitaji Sana wakae mezani Na Ukraine wayamaliza Ila ndio hivyo muhuni Zelesky ameshasema moto uko pale pale mpaka atakapoondoa vikosi vyake Ukraine"
Anahitaji sana wakae mezani? kwani Mwanzoni kilimzuia kitu gani kufanya hivyo? Kumbe kiburi kimeisha sivyo? Kumbe Ndo maana yuko desperate anajipigia mabomu hovyo hovyo maeneo ya raia kana kwamba hajui wanaume wako wapi. Jibu lake mwambieni ..Asubiri kidogo wanaume wakisha teka hivyo virushio vyake vya mabomu then watakaa mezani waweke hitimisho kwa kuzingatia vigezo vitakavyowekwa na Ukraine.
Halafu; Wewe Umtake radhi Zelesky kwani yy sio muhuni kama ulivyomuita. Yeye yuko smart, Anapigania HAKI za nchi yake halali ya Ukraine zilizoporwa na Mhuni Putin.
 
Bunge la Bunge la Baraza la Ulaya limeitambua Urusi kuwa nchi ya kigaidi. Wanachama 99 walipiga kura ya kuunga mkono, 1 hakupiga kura. Azimio hilo linatambua ushiriki wa Urusi katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuwa kinyume cha sheria
Iko vzr mnooo
 
"........ni kama Jamaa anahitaji Sana wakae mezani Na Ukraine wayamaliza Ila ndio hivyo muhuni Zelesky ameshasema moto uko pale pale mpaka atakapoondoa vikosi vyake Ukraine"
Anahitaji sana wakae mezani? kwani Mwanzoni kilimzuia kitu gani kufanya hivyo? Kumbe kiburi kimeisha sivyo? Kumbe Ndo maana yuko desperate anajipigia mabomu hovyo hovyo maeneo ya raia kana kwamba hajui wanaume wako wapi. Jibu lake mwambieni ..Asubiri kidogo wanaume wakisha teka hivyo virushio vyake vya mabomu then watakaa mezani waweke hitimisho kwa kuzingatia vigezo vitakavyowekwa na Ukraine.
Halafu; Wewe Umtake radhi Zelesky kwani yy sio muhuni kama ulivyomuita. Yeye yuko smart, Anapigania HAKI za nchi yake halali ya Ukraine zilizoporwa na Mhuni Putin.
Muhuni ni Sifa pia.
 
Kwamba Putin anataka Ceasefire na ataondoka Kherson.... Tetesi tu

Kwamba aondoke kherson ila sehemu zingine zibaki kwake
 
Nimemsikiliza Putin Leo akiwa anaongea ni kama Jamaa anahitaji Sana wakae mezani Na Ukraine wayamaliza Ila ndio hivyo muhuni Zelesky ameshasema moto uko pale pale mpaka atakapoondoa vikosi vyake Ukraine
Walishazungumza. Putin anataka aachiwe mikoa motano ya Ukraine iwe Urusi ili na yeye aache kuishambulia Ukraine. Hamna wa kukubali. Pili, unapokuja kupost huku tumia lugha ya heshima au kaa kimya. Huwezi kumuita rais wetu Muhuni. Yaani unamchukulia Zelensky kama baba yako sio? Unaonesha una makuzi mabovu, huwezi kaa kwenye jamii iliyo starabika
 
Kutokea Kherson. Good morning
20221015_075410.jpg
20221015_075506.jpg
 
Kwamba Putin anataka Ceasefire na ataondoka Kherson.... Tetesi tu

Kwamba aondoke kherson ila sehemu zingine zibaki kwa
Putin huenda ana tatizo la akili (mental health). Yaani unavamia nyumba ya mtu halafu unampangia achukue chumba kile na wewe uchukue vyumba vile. Ni mwendawazimu tu ndo anaweza kufikiria hivo.

Kwa kauli yake ya juzi eti hana mpango tena wa kuiteketeza/kuiangamiza (Destroy) Ukraine kwa kurusha makombora kama alivyofanya ni dalili kuwa kashaona maandalizi ya wanaume kwa mzigo unaoenda Ukraine. Kiufupi Putin katepeta. Mpaka ifike December atakuwa yuko hoi.

Let's wait and see.
 
Kwamba Putin anataka Ceasefire na ataondoka Kherson.... Tetesi tu

Kwamba aondoke kherson ila sehemu zingine zibaki kwake
Mbona muda wa majadiliano /mijadala ulishapita? Kinachotakiwa ni AONDOKE KWENYE ARDHI YA NCHI YA UKRAINE ALIYOJITWALIA KWA NGUVU La sivyo ataondolewa au ataondoka kwa LAZIMA. Eti sehemu zingine zibaki kwake. Nani alimwambia kwamba Ukraine anauza maeneo ya Ardhi??
 
Back
Top Bottom