figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #7,221
Hata kama Urusi wapo ng'ambo ya mto, wnafuatwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walikuwa wanajeshi......190. ina maana hakusalia mwanajeshi wa Urussi hata mmoja?Hawakukumbuka kujisalimisha?Urusi wamepigwa ambushi. Walikuwa wanajeshi wa Urusi 190
View attachment 2387866
"Curiosity killed the cat". Udadisi wa kutaka kuona kinachoendelea ungemponza dogoKidogo Warusi wamtoe roho huyu dogo. Ushaambiwa take cover, unasimama kufanya nini? 🤣🤣
View attachment 2387871
Duh! naamini kwa nguvu hiyo mpya aliweza kutoa majibu stahiki kwa Warussi waliotaka kumtoa roho.Warusi kidogo watuulie mwanajeshi. Ila aliwezakuinuka na nguvu mpa
View attachment 2387888