Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Drone za Kigaidi za Iran. Warusi wanazitumia hata kwenye makazi ya watu.

View attachment 2390139
Yaani Russia kakata upepo Hadi anaenda kuomba drones za Iran? Si tuliambiwa Russia ni super power? Sasa super power gani anatembeza bakuli Kuomba silaha?

Hii vita Russia inaweza kuwa mwanzo wa kusambaratika zaidi... Tayari ameshameza ndoano.

Hana Tena Qualified soldier kabakiza Raia wakakamavu wanaojitolea tu, silaha za kisasa Hana anaombaomba kwa waarabu ambao technically ni less intelligent and talented Kama West, anakuwa weakened economically day after day sababu kaanza kununua silaha expensive zaidi, anapoteza ushawishi kwa washirika wake sababu wengi walimuamini awali, mfumo wake wa ulinzi wa S-400 umevuliwa nguo na kuonekana hauna efficiency ya kutosha sababu HIMARS silaha ndogo tu za mmarekani zimeutoa kamasi.

In a long run, Russia hatoboi tena...kaishameza ndoano na kutema hawezi, hence kifo hakieupikiki.
 
Iran amepata chimbo la kuuza drones zake. Je,atazizalisha na kuuza Russia kwa muda gani?? Je, Mrussi atakuwa bado yupo hai kuzinunua? Je, Umaarufu wake hizo drones utadumu kwa muda mrefu? Ni suala la muda tu. Tusubiri muda ndo utasema.
 
Ukraine anaweza sana kupiga Moscow ila haikuwepo haja sana kufanya hivyo, moyo ulikuwa kwenye kukomboa maeneo.

Ila kama Urusi ataendelea kuranya haya wanayoyafanya, lazima Ukraine itafanya kitu moja mbaya kwa Urusi mpaka watashangaa
Kwa kuwa sasa imeshadhihirika kwamba Urussi sio super power na maadam imeshakuwa ni wazi kwamba ameishiwa silaha kiasi cha kulazimika kwenda kubangaiza Uarabuni na kwa sababu Mrussi ameshindwa mapambano ya porini, vita hii itaisha mapema kuliko ilivyotarajiwa na Utawala wa Kirussi uliopo ndo mwisho wake. Tena asipokuwa makini Mrussi anaweza kujikuta nchi inagawanywa/sambaratika- yaani hakutakuwa na nchi ya Urussi kwenye ramani ya dunia.
 
Iran amepata chimbo la kuuza drones zake. Je,atazizalisha na kuuza Russia kwa muda gani?? Je, Mrussi atakuwa bado yupo hai kuzinunua? Je, Umaarufu wake hizo drones utadumu kwa muda mrefu? Ni suala la muda tu. Tusubiri muda ndo utasema.
Hizo drones ni cheap and affordable, drones moja inauzwa almost $10,000 wakati bomu la kutungulia kutoka kwenye Air defense system linagharimu almost 200,000 each ndio maana itakuwa hasara saana kwa Ukraine na washirika wake.

Ni cheap, affordable na efficiency na mzigo ukienda haurudi unaenda na kusababisha madhara makubwa na utengenezaji wake ni simple sio complicated Kama zile drones za turkey za Bayraktar ambazo ni almost $5M kwa single drones.

Hadi Sasa dawa ya hizi Drones anazo muisrael ndio anazijua nje ndani na ana lethal radiation za kutungulia hizi Drones za muiran na amekubaki kutoa hiyo support kwa Ukraine ili kuzizima kabisa hizo kamikaze drones.

Show inaanza sasa.....
 
Haya sasa; Muisraeli amekubali kutoa support Kwa Ukraine sio. Ndo maana nikatilia shaka muda wa kuwika kwa hizo drones za Iran.
 
Yaani Russia kakata upepo Hadi anaenda kuomba drones za Iran? Si tuliambiwa Russia ni super power? Sasa super power gani anatembeza bakuli Kuomba silaha?

Hii vita Russia inaweza kuwa mwanzo wa kusambaratika zaidi... Tayari ameshameza ndoano.

Hana Tena Qualified soldier kabakiza Raia wakakamavu wanaojitolea tu, silaha za kisasa Hana anaombaomba kwa waarabu ambao technically ni less intelligent and talented Kama West, anakuwa weakened economically day after day sababu kaanza kununua silaha expensive zaidi, anapoteza ushawishi kwa washirika wake sababu wengi walimuamini awali, mfumo wake wa ulinzi wa S-400 umevuliwa nguo na kuonekana hauna efficiency ya kutosha sababu HIMARS silaha ndogo tu za mmarekani zimeutoa kamasi.

In a long run, Russia hatoboi tena...kaishameza ndoano na kutema hawezi, hence kifo hakieupikiki.
Kashanasa kwenye mtego, hachomoki safari hii.
 
Hizo drones ni cheap and affordable, drones moja inauzwa almost $10,000 wakati bomu la kutungulia kutoka kwenye Air defense system linagharimu almost 200,000 each ndio maana itakuwa hasara saana kwa Ukraine na washirika wake.

Ni cheap, affordable na efficiency na mzigo ukienda haurudi unaenda na kusababisha madhara makubwa na utengenezaji wake ni simple sio complicated Kama zile drones za turkey za Bayraktar ambazo ni almost $5M kwa single drones.

Hadi Sasa dawa ya hizi Drones anazo muisrael ndio anazijua nje ndani na ana lethal radiation za kutungulia hizi Drones za muiran na amekubaki kutoa hiyo support kwa Ukraine ili kuzizima kabisa hizo kamikaze drones.

Show inaanza sasa.....
We are waiting for the show.
 
Na it seems, Urusi anazitumia hizi ili kudeplete resources za air defence ya ukraine.
Hizi dawa zake ni ndogo tu ziwepo ndege za Ukraine katika anga kuziwinda na kuzishoot kutokea angani
Ukiweka ndege angani radar za mrusi zitaziona na kuzitungua.

Itakuwa misuse of resource. Ni sawa na kutumia HIMARS kutungua drone. Bado naona hoja ya kutumia solution ya mu-,Israel ni valid na cost effective.
 
Good morning Luhansk
20221018_074250.jpg
20221018_074259.jpg
 
Na it seems, Urusi anazitumia hizi ili kudeplete resources za air defence ya ukraine.
Hizi dawa zake ni ndogo tu ziwepo ndege za Ukraine katika anga kuziwinda na kuzishoot kutokea angani
Ukiweka ndege angani radar za mrusi zitaziona na kuzitungua.

Itakuwa misuse of resource. Ni sawa na kutumia HIMARS kutungua drone. Bado naona hoja ya kutumia solution ya mu-,Israel n valid na cost effective.
 
Hivi tumekosa drone msawia ili kuwaadhibu Warusi kwa watufanyiayo? Maana hizi drone za Iran ni hatari kwa sasa zinatumwa nyingi sana na uelekeo ni Kyiv
Jana Ukraine iliangusha Shahed-136 Kamikaze drones 82% au 23 kati 28 zilizolenga kutua Kyiv. Hii ni vita, hamuwezi kupiga tu bila kupigwa. Bado Ukraine inapungukiwa na Ulinzi wa anga. Mfano za jana zilitokea Belarus. Urusi yeye analenga sehemu yoyote yenye watu. Yeye anajisifia kuua raia tofauti na Ukraine inayolenga Majeshi na mifumo ya jeshi.
20221018_122622.jpg
 
Na it seems, Urusi anazitumia hizi ili kudeplete resources za air defence ya ukraine.
Hizi dawa zake ni ndogo tu ziwepo ndege za Ukraine katika anga kuziwinda na kuzishoot kutokea angani
Mbona ndege zipo angani zinaziwinda.
Tatizo zinatumwa nyingi kwa wakati 1, uwezekano wa ndege zetu kutunguliwa na defence zetu ni mkubwa
 
Back
Top Bottom