Akili fupi kweli watakuwa wanakimbia na hizo concrete block. Ukipigwa ambush unasahau hata lilipo hilo dude.Warusi baada ya kuona wanaisha, wameamua kupelka concrete Frontline ili ziwasaidie kuwakinga dhidi ya risasi za Ukraine
View attachment 2401830