Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Good morning
20221106_081102.jpg
20221106_081122.jpg
 
Mnakumbuka wale wanajeshi wqliotuka majuzi kwenye mafunzo Uingereza?

Sasa baada ya kuingia Frontline, Wanajeshi wengi wa Urisi wanakufa. Sasa wanasema ile Battalion ilokuwa mafunzoni ni Magaidi. Sababu wanashabaha sana. Wanaua km 2 hadi nne kabla ya kuwafia.

Urusi wasiporudi kwako, wataisha. Mtawaita majina yote. Sisi tunawaona Makomandoo sababu wanaua Warusi, Urusi inawaona Magaidi🤣🤣🤣
 
Nimekumbuka ile movie ya Lawrence of Arabia, Jasusi wa Uingereza aliyekuwa akiwafundisha waarabu kusabotage miundo mbinu ya Ottoman Empire ili kuiondoa Ottoman empire kutoka ktk ardhi ya Arabia.

Sasa naona Majasusi wa uingereza wanamsaidia Ukraine kusabotage miundo mbinu ya kijeshi ya Mrusi.

Uingereza ni kataifa kadogo kwa eneo lakini ni hatari sana kwenye medani za kijeshi
 
Back
Top Bottom