figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #8,821
Ukraine leo anga sio zuri. Alarm za hatari zinalia nchi nzima sasa masaa manne
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ni dalili nzuri kuwa Anga la Ukraine lina ulinzi. Sina wasiwasi na maeneo ambayo NASAMS na IRIS-T zime cover.Ukraine leo anga sio zuri. Alarm za hatari zinalia nchi nzima sasa masaa manne
View attachment 2417629
Katika makosa ambayo Russia anayafanya na kufanya kila nchi imlaumu (condem)ni kurusha makombora maeneo ambayo hakuna vita, kwa Lengo la kuharibu miundo mbinu na kuua raia. Angekuwa inaelekeza makomba yake kwenye military base, maghala ya silaha na kwenye battlefield hakuna ambaye angemlaumu.cruise missile ya Urusi ikielekea Kyiv
View attachment 2417637
Ni muda UNO na USA kumkabidhi Ukraine makombora ya kufika Urusi maana hii ni dharau...cruise missile ya Urusi ikielekea Kyiv
View attachment 2417637
UN hana makomboraNi muda UNO na USA kumkabidhi Ukraine makombora ya kufika Urusi maana hii ni dharau...
Wakimkabidhi makombora ya masafa marefu ya zaidi ya 300km, Ukraine kwa hasira alizo nazo atapiga Moscow na miji mingine muhimu.Ni muda UNO na USA kumkabidhi Ukraine makombora ya kufika Urusi maana hii ni dharau...
Russia HIMARS anaiogopa sana 😂😂😂. Ndo maana hata anachodai makao makuu mpya ya Kherson kaipeleka mbali, zaidi ya 300KMUrusi huko Kherson wamerudi nyuma tena km 15-20 ili kukwepa mashambulizi ya HIMARS
View attachment 2417683
Kweli mkuu. Angeonjeshwa kidogo tu ili naye ayasikie maumivu na ajifunze. Ila sasa raia wa kawaida (wasio wanajeshi)wa Urussi sio walengwa. Kwa mantiki hiyo Tutakuwa nasi tumefanya kosa sawa na Mrussi na hivyo hatutaweza tena kumlaumu Mrussi kwamba hazigatii sheria za vita na tutampa Mrussi fursa ya kutupa makombora randomly nchini Ukraine.Ni muda UNO na USA kumkabidhi Ukraine makombora ya kufika Urusi maana hii ni dharau...
Hasira -Hasara. Hilo Ukraine akifanya hivyo litampa Urussi Uhalali wa hicho anachofanya kwa sasa i.e. urushaji wa makombora kwenye maeneo yasiyo na vita.Wakimkabidhi makombora ya masafa marefu ya zaidi ya 300km, Ukraine kwa hasira alizo nazo atapiga Moscow na miji mingine muhimu.
Mdogo-mdogo dawa itawaingia tu. Ongeza dozi.Urusi ni sikio la kufa. Halisikii dawa
View attachment 2417695
Tunapiga maeneo yenye nukes ili aonje utamu wakeKweli mkuu. Angeonjeshwa kidogo tu ili naye ayasikie maumivu na ajifunze. Ila sasa raia wa kawaida (wasio wanajeshi)wa Urussi sio walengwa. Kwa mantiki hiyo Tutakuwa nasi tumefanya kosa sawa na Mrussi na hivyo hatutaweza tena kumlaumu Mrussi kwamba hazigatii sheria za vita na tutampa Mrussi fursa ya kutupa makombora randomly nchini Ukraine.
Safi sanaUN hana makombora
US naona kakubali mpatia Drone zinazoweza ruka hadi Moscow na kufanya mashambulizi, ila kwanza anataka toa technology kadhaa ili hata ikikamatwa basi reverse engineering isifanyike
Ndiyo ili waonge radha ya vita ...yaani akipiga vyanzo vya nishati nasi tunajibuWakimkabidhi makombora ya masafa marefu ya zaidi ya 300km, Ukraine kwa hasira alizo nazo atapiga Moscow na miji mingine muhimu.
Hakuna wakulalamika kabisa. AZOV wanatekeleza jukumu lao kwa weledi wa kiwango cha juu. Mrussi hastahili kuonewa huruma hata kidogo kama punje ya haradali.Kyiv hakuna Umeme. Wananchi hawalalamiki sababu wanajua Nchi ipo Vitani. Ni vyema hatuna umeme na hatuna Warusi hapa kuliko tuwe na umeme na Warusi wawepo. Urusi leo ilituma missiles 100 kwenye miundombinu na Makazi ya watu. Nisisikie mtu anawalaumu Azov
View attachment 2417828
Pamoja na kupiga makombora zaidi ya 85, lakini mengi yamedakwa. Yaliyo penetrate ni machache sana.Kyiv hakuna Umeme. Wananchi hawalalamiki sababu wanajua Nchi ipo Vitani. Ni vyema hatuna umeme na hatuna Warusi hapa kuliko tuwe na umeme na Warusi wawepo. Urusi leo ilituma missiles 100 kwenye miundombinu na Makazi ya watu. Nisisikie mtu anawalaumu Azov
View attachment 2417828