Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Hivi kumbe ni Ukraine iliivamia Russia??! Kwa mantiki hiyo, ni Ukraine ndio anatakiwa ayaondoe majeshi yake aliyoyaingiza kibabe kuvamia na kutwaa ardhi ya Russia. Ina maana ww peke yako ndio huitambui wala hukubaliani na ramani rasmi iliyopo ya nchi ya Russia. Kama ndio hivyo, basi ww unao uhuru wa kuamini kama unavyodai "Walioandaa mpango wa kuivamia Russia ni Ukraine wakichagizwa na mabwana zao West na NATO........" Na ikiwa ndo hivyo, ingekufaa uzingatie kwamba uzi huu sio wa pro-Russia. Usilazimishe bali fuatilia upo uzi wenu tena mkubwa tuu huko. Labda iwe tena na huko wamekuambia vinginevyo.
Huma uelewa wowote ule kuhusu chanzo cha mgogoro wa
Empty brain. You know nothing about this war.

Hiyo ya empty brain kaanze kwanza kumwambia baba yako aliyekuzaa halafu pia na mama yako mzazi...majibu yao njoo utupatie mrejesho hapo...
 
Huma uelewa wowote ule kuhusu chanzo cha mgogoro wa

Hiyo ya empty brain kaanze kwanza kumwambia baba yako aliyekuzaa halafu pia na mama yako mzazi...majibu yao njoo utupatie mrejesho hapo...
Khe! Kumbe ww ndo wa hivyo?. Nimekuelewa mkuu.
 
Khe! Kumbe ww ndo wa hivyo?. Nimekuelewa mkuu.
Utaelewa mengi zaidi ya hayo kutoka kwa wakubwa...Usitumie lugha ya kejeli, dharau na matusi...ukifanya hivyo ueanze kwanza kuwaambia wazazi waliokuleta duniani ndipo kama lugha uliyotumia ni sahihi au siyo...Waambie wazazi wako baba wewe ni empty head...mama nawe pia ni empty head...reaction ya wazazi wako ndiyo itakayokufundisha...
 
Asante mkuu. Nitazingatia.
 
Nadhani umejikweza mwenyewe...katika mijadala huwezi ukaji-limit kihivyo....Kwanza mrusi siyo mvamizi...Walioandaa mpango wa kuivamia Russia ni Ukraine wakichagizwa na mabwana zao West na NATO.. Alichofanya Russia ni pre-emptive strike...Hawa Ukraine na NATO yao ni lazima wachakazwe tu ili waache kutumiwa kibwege..
Thibitisha kwamba Ukraine alitaka ivamia Russia
 
Kikosi cha Zimamoto Bakhumut
20221128_065210.jpg
 
Back
Top Bottom