Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Tupe na picha za upande wa pili
IMG_20230301_212601_596.jpg
IMG_20230301_212601_527.jpg
IMG_20230301_212600_983.jpg
 
Ghala la Silaha na risasi la Urusi, limeteketezwa huko Luhansk
View attachment 2534058
Waw! Ukraine slava. Yan ninachompendea Ukraine ni hicho; Anajua afinye wapi ili Mrusi apate maumivu makali zaidi na ulemavu wa kudumu muda mrefu au matibabu yake ni gharama kubwa... Sio kujipigia tuu hovyo tena kwa mbali. Mrusi ataelewa somo - atake asitake.
 
Back
Top Bottom