figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #11,761
Hakuna kukimbia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wana hasira. Unageuzwa kuwa choo. Nilitamani aamurishwe afunguo mdomo anyweshwe mkojo kabisa.
Kaleta jeuri wakati yuko mikononi mwa wanaume. Wenzake wanakuwa wapole ili angalau waendelee kuishi.Warusi wanapata tabu. Hata picha hazipigiki
View attachment 2539718
Wanajilaza lakini macho yako makini kuangalia vitu vinavyoshuka. 😂😂😂😂Hakuna kukimbia
View attachment 2539719
hivi huyo alie pigwa shaba si ni mwanajeshi wa ukreiniWarusi wanapata tabu. Hata picha hazipigiki
View attachment 2539718
Umemtambuaje kuwa ni Ukrainian na siyo Russianhivi huyo alie pigwa shaba si ni mwanajeshi wa ukreini
Sent from my CPH2015 using JamiiForums mobile app
evidenceUmemtambuaje kuwa ni Ukrainian na siyo Russian
Humu kuna vituko vingi ndio maana sisi wengine tunapita tu maana jukwaa Lao hili tusije onekana wakorofi
Kwa ujeuri huo; majibu yakawa ni ya papo kwa hapo.Kaleta jeuri wakati yuko mikononi mwa wanaume. Wenzake wanakuwa wapole ili angalau waendelee kuishi.
Duh! Aisee; Kama hicho kichwa kilichonata kwenye helmet ni cha Mrusi, basi apelekewe boss wa Wagner (Prigozini) kama zawadi kutoka Bakhmut.
Ahaaa. iInawezekana kile kichwa(Fuvu) 231259_525 jpg kilidondoka kwenye mwili huu 👆 👆