Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Hivi ni kweli huyo ni askari wa Ukraine? Mbona mm naona kama ni askari jeuri wa Urusi aliyeshindwa kutii amri aliyokuwa anapewa na badala yake akaanza kubwabaja maneno ya kuisifia Ukraine(Glory to Ukraine...)kana kwamba ni ajabu kwa askari wa Ukraine wameweza kumfikia na hivyo anawapa utukufu badala ya kutii amri aliyopewa? Kwa hali hiyo askari wa Ukraine aliyekuwa anajibizana naye akaona huu ni ujinga au ni mbinu ya ku-buy time ili kitu fulani kitokee. Askari wa Ukraine fasta akampa stahili yake.
Yan unamsifia adui yako eti ataghafilika akuache. 😳 Mbinu ya sungura na fisi.
Huyu ni askari shujaa alieonyesha ujasiri na ushujaa wa hali ya juu, jamaa licha ya kuuona mtutu wa bunduki aliendelea kutamka maneno ya ushujaa kwa nchi yake Hadi tone lake la mwisho la damu.
Amepewa medali ya ushujaa na mchi yake kwa ujasiri na ushujaa wa kutetea nchi yake.
 
Akirudi kujibu hizi nondo
Kama madai yako yana ukweli hebu tujibu maswali haya.

1. Kama hali ni mbaya kwa Ukraine, mbona mpaka sasa Russia wameshindwa kuichukia Bakhmut?

2. Kama kweli Ukraine ina hali mbaya, kwa nini frontline ya Russia kwa Bakhmut hawaja advance tangu 5/3/2023

3. Kama kweli Ukraine wana hali mbaya kwa nini Ukraine hawaja retreat?
nondo nitag mkuu.

Wameshazoea kulishwa propaganda za kirusi na wagner wanaolazimisha ukraine watangaze kujitoa bakhmut
 
Kama madai yako yana ukweli hebu tujibu maswali haya.

1. Kama hali ni mbaya kwa Ukraine, mbona mpaka sasa Russia wameshindwa kuichukia Bakhmut?

2. Kama kweli Ukraine ina hali mbaya, kwa nini frontline ya Russia kwa Bakhmut hawaja advance tangu 5/3/2023

3. Kama kweli Ukraine wana hali mbaya kwa nini Ukraine hawaja retreat?
Maswali konki sana.

Inaelekea Maximum capability ya Wagner waliionyesha mwezi wa Pili kuja wa Tatu huko Bakhmut. Yaani uwezo wao kimsingi umegomea hapo.

Na nimesikia kwamba Ukraine imeanza kuwarudisha nyuma mdogomdogo ktk baadhi ya maeneo.

Hadi baadhi ya propagandists ktk TV za Urusi wameanza kuzungumza kuwa ni vigumu julishinda jeshi la Ukraine kwa sababu haliishiwi silaha sababu ya West kuendelea kuimwagia vyombo
 
Huyu ni askari shujaa alieonyesha ujasiri na ushujaa wa hali ya juu, jamaa licha ya kuuona mtutu wa bunduki aliendelea kutamka maneno ya ushujaa kwa nchi yake Hadi tone lake la mwisho la damu.
Amepewa medali ya ushujaa na mchi yake kwa ujasiri na ushujaa wa kutetea nchi yake.
Ni shujaa wa Ukraine au ni shujaa wa Urusi?? Kwa maneno mengine; aliyefyatua/piga risasi ni askari wa Ukraine au ni askari wa Urusi?
 
Huyo jamaa ni matek wa kivita toka Ukraine alipigwa risasi akiiaifia nchi yake na Warusi baada ya kusimama na nchi yake Hadi tone lake la mwisho.
 
Hawa wahuni lazima watashikwa hawana akili wamefanya kosa sana kupiga na kushare hiyo video.
 
Ni shujaa wa Ukraine au ni shujaa wa Urusi?? Kwa maneno mengine; aliyefyatua/piga risasi ni askari wa Ukraine au ni askari wa Urusi?
Ile post nilikosea kutoka kwenye chanzo. Online kuna vitu vingi na usipokuwa makini unaweza lishwa matango pori. Huyu ni Mwanajeshi wa Ukraine alipigwa risasi na Wanajeshi wa Urusi baada ya kukataa kutii amri ya kujisalimisha kwa kuweka mikono juu. Alisema Slava Ukraine akapigwa risasi. Alisema hawezi kuwa mateka kwenye nchi yake bora afe. Yaani Mrusi atoke kwake aje nchini mwangu halafu aniite mateka? Haiwezekani. Samahani kwa usumbufu Mkuu🙏
 
Yap! Ni shujaa kweli wa Ukraine; alikataa kuwa mateka nchini kwake. 💪
 
RiP Dmytro Kotsyubailo 🕯️. Hii vita imeondoka na wapambanaji aisee! Dah! Alikuwa kamanda wa kikosi cha 67th brigade, alikuwa anajiita "Da Vinci", ndo aka yake.
20230308_183349.jpg

5b7421d5cad74333a4cae68b9e09fddf.jpg
 
RiP Dmytro Kotsyubailo 🕯️. Hii vita imeondoka na wapambanaji aisee! Dah! Alikuwa kamanda wa kikosi cha 67th brigade, alikuwa anajiita "Da Vinci", ndo aka yake.
View attachment 2542060
View attachment 2542062
Alikuwa ni kamanda kijana mwenye morali wa kuipigania nchi yake muda wote. Aliwafànya wanajeshi wenzake kwenye Batalian aliyokuwa anaiongoza wawe na morali sana.
 
Wahenga walisemaga"Chema hakidumu" Lakini huyu amatoa mchango wake katika ukombozi wa nchi ya Ukraine na kuukataa ubeberu.Wewe Je?
 
Back
Top Bottom