figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #13,541
Bakhmut
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo mfumo uwa hawekwi kwa pamoja kama nyanya mkuu radar ina kaa kungine na rocket batter kungine1. Patriot ni kweli ilifanikiwa ku- intercept baadhi ya missiles.
2. Pia ni kweli walifanikiwa kuipiga Patriot moja. Russia walirusha six (6) hypersonic missiles kwa wakati mmoja kwa kutumia ndege sita (6) tofauti. Missile zote zilikuja kwa wakati mmoja. Ilifanikiwa kuzidaka missile zingine lakini zingine zikapenya na kuiharibu.
Hakuna air defence inayo fichwa hata S.300 na S.400 lazima ziwe waziSasa hapo wamewatia hasira wamarekani zaidi kuongeza ulinzi wa anga, maana Marekani ni Taifa la wabishi sana.
May be Waukraine waanze kujifunza kuzificha Patriot batteries, maana kikawaida Patriot huwa haifichwi inakaa wazi tu
Ivi unajua kuna makombora special kwa ajili ya kulipua radar ambayo yana fata mionzi? Marekan anayo HARM na Russia ni KH 15 kwa hoja iyo iliyo lipuliwa ni moja Radar na sio mfumo mzima maana huwa ina kaa mbali mbali.Mimi naamini USA wanajua weakness ya Patriot system ilipo against Hypersonic missiles za Russia. Russia walifanikiwa ku-intercept signals za Patriot na wakajua ilipo ndo wakaamua kuipelekea mashambulizi mengi kwa wakati mmoja to over whim.
Slava Ukraine [emoji1255]Bakhmut Jeshi la Urusi lililovamia Nchi ndogo ya Ukraine kimabavu limeanza kuzidiwa hadi kurudi nyuma kilometa kadhaa
View attachment 2625930
Slava Ukraine [emoji1255]Hawa Wanajeshi wa Ukriane wamemnunulia Baskeli kijana wa mji uliopo Frontline. Huyu kujana huwa anawatembelea na kuwaletea zawadi mbalimbali. Sababu huwa anatumia Baskeli, ikabidi wampe zawadi ya baiskeli mpya. Hii ni moja ya Sehemu ya Mawindo wakisubiri kuona kama Mrusi anakatiza. Frontline ni maisha ni uhai au kifo. Upendo ndo kila kitu
View attachment 2625932
Slava Ukraine [emoji1255]A T-64BV of the Azov brigade.
View attachment 2625943
Ikiwa hivo ndo inaondoa hoja ya Patriot kupata damage.Huo mfumo uwa hawekwi kwa pamoja kama nyanya mkuu radar ina kaa kungine na rocket batter kungine
Kuna article moja nilisoma, wanasema kuwa Warusi siku hizi wamefanikiwa kuzijam HIMARS. Kwamba zinakoseakosea target.Ikiwa hivo ndo inaondoa hoja ya Patriot kupata damage.
1. Je' hizo system components zina operate independently? Hata kama ni one compenent imekuwa damaged hoja inabaki pale pale kuwa wameipiga Patriot moja. Regardless of the magnitude of damage
2. Nafahamu configuration ya Patriot ilivyo and its major components. These components are integrated and they work together.
What is the key point you want to draw?.Ivi unajua kuna makombora special kwa ajili ya kulipua radar ambayo yafata mionzi? Marekan ansyo HARM na Russia ni KH 15 kwa hoja iyo iliyo lipuliwa ni moja Radar na sio mfumo mzima maana huwa ina kaa mbali mbali.
Hizo ni propaganda kama zilivyo propaganda zingine. Ikianza counter offensive watatoa majibu wenyewe kama zinajam.Kuna article moja nilisoma, wanasema kuwa Warusi siku hizi wamefanikiwa kuzijam HIMARS. Kwamba zinakoseakosea target.
Hii imekaaje?
Get the logic. People are talking about system mobility. It is not an easy thing to deassemble the system and re-install to another location compared to other air-air defense systems. Yes you can relocate but it takes timeHakuna air defence inayo fichwa hata S.300 na S.400 lazima ziwe wazi
Mrusi atahangaika sana. Cheki:- amekodi kampuni ya mamluki(Wagners), operesheni kamatakamata vijana na walevi mitaani, kuwalaghai na kuwanunua Wafungwa magerezani, kutapeli vijana kutoka mataifa ya nje kwa maneno eti kuna Free scholarships na pia kuna highly paid jobs na sasa kaja kutumia gia ya nguvu wafanyakazi wa makampuni wajisajili kwenda vitani. Mrusi aliambiwa hakuna rangi ataacha kuona akadhani ni mzaha.Makampuni huko Urusi yameamuliwa kurecruit wafanyakazi wa kwenda vitani Ukriane
View attachment 2625933
"HIMARS zinatumika zaidi kupiga kwenye maghala ya silaha na Military posts ndani ya range. Ndiyo maana maghala ya silaha yamewekwa nje ya range ya HIMARS."Hizo ni propaganda kama zilivyo propaganda zingine. Ikianza counter offensive watatoa majibu wenyewe kama zinajam.
Machine wanayoiogopa warusi ni HIMARS ndo maana wameziwinda wameshindwa kuzipata because of its mobility. Risasi za HIMARS zimekuja za kutosha. Subiri counter offensive ikianza. Tunza swali lako tuje tukumbushane.
The secret behind ni kwamba Russia wanajitahidi sana kutoweka silaha kwenye maghala karibu na frontline kama ilivyokuwa zamani. HIMARS zinatumika zaidi kupiga kwenye maghala ya silaha na Military posts ndani ya range. Ndiyo maana maghala ya silaha yamewekwa nje ya range ya HIMARS.
Team ya reconnaissance (Akina Jagajagaa) ikibaini silaha au military posts zilipo ikampa HIMARS coordinates anashughulika nao. Ni muda mfupi utawasikia warusi manakupa mrejesho wao wenyewe. Hata Russia hapendi kuona Ndafu na scrapers anazoachiwa na HIMARS."HIMARS zinatumika zaidi kupiga kwenye maghala ya silaha na Military posts ndani ya range. Ndiyo maana maghala ya silaha yamewekwa nje ya range ya HIMARS."
Ama kweli hii nimeipenda. Manake ni kwamba hakuna ghala au military post itakayosalimika endapo itakuwa ndani ya range.