Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Maghala ya Silaha ya Wavamizi kutoka Urusi huko Makiivka na Donetsk
IMG_20230705_084022_946.jpg

 
Slava Ukraine , Warusi wameanza kulalamika kutengenezewa mapandikizi ya umbu na Marekani ili kuwapunguza wapiganaji wake ili washindwe frontline au sijaelewa zile HIMARS rocket ndiyo wanamaanisha mbu
Achana nao. Hao wamechanganyikiwa mazima.
 
Slava Ukraine , Warusi wameanza kulalamika kutengenezewa mapandikizi ya umbu na Marekani ili kuwapunguza wapiganaji wake ili washindwe frontline au sijaelewa zile HIMARS rocket ndiyo wanamaanisha mbu
Mbu ndo waliwakimbiza Kherson. Biological weapon ni muhimu pia ikibidi.
 
Sasa hivi Ukriane wanaadvance huko Bakhmut. Warusi wanaacha miili ya Wanajeshi wao nyuma. Hawajulishi ndugu wa marehemu wala nini. So wanajeshi wa Ukriane wakikuta namba ya ndugu huwa wanawapa taarifa ya ndugu yao kufa. Mmoja ni hiyu aliandika namba ya mama yake kwenye karatasi na wamepigia wakamwambia mtoto wao anavyo rutubisha ardhi ya Ukraine
20230709_060949.jpg
 
Bakhmut inarudi Mikononi mwa Ukriane wiki si nyingi. Hapa Warusi wameikimbia moja ya kambi yao huko Bakhmut. Wamepelekewa moto, baada ya kuona wanakufa kama sisimizi ikabidi watimue. Wameshikilia hii sehemu zaidi ya miezi miwili. Angalia Warusi walivyo kufa
 
Hapa ni Pyatykhatky huko Zaporizhzhia, Urusi wameikimbia Kambi yao. Hawa Wanajeshi wa Ukraine walioyoka kwenye mafunzo ni moto sana. Warusi wamekimbia wakaacha mzigo kama wote
 
Makomandoo na Mashujaa wa Azovstal wa Battalion ya Azov waliojisalimisha huko Mariupol wameachuwa hukru. Viongozi wa Azov makubaliano ilikuwa wasikae nchini kwani wangeongeza nguvu.

Leo Wamerudi kutoka kizuizini na amepokelewa na rais Zelensky. Walioachiwa huru ni pamoja na
Denys Prokopenko, Svyatoslav Palamar, Serhiy Volynsky, Oleh Khomenko, Denys Shleha na wengine wengi

Karibu sana nyumbani
 
Back
Top Bottom