Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Waandishi wa habari wa Urusi wanalalamika kuawa, ila tatizo lao wanajiona Makamanda na Kuvaa kijeshi. Basi wakaambiwa kama tatizo ni baridi, Wavae Helmet na Jacket yenye Nembo ya "PRESS" wanaleta Jeuri. Mfano hawa ukiambiwa ni wanahabari utakubali? Hii ndo inafanya wafe
View attachment 2696617
Slava Ukraine [emoji1255]
 
Hawa Warusi wangetulia kwao, wasingekufa. Alikuja kupambana ili mtoto na mke wake waende chooni, kageuka mbolea nchi ya Ugenini. Warusi wanatia huruma
 
Warusi wanashindwa kupambana Frontline, wanashambulia Makanisa
20230810_121204.jpg
20230810_121202.jpg
20230810_121159.jpg
 
helicopters – 313 (+0)
UAV operational-tactical level – 4213 (+9)
cruise missiles ‒ 1379 (+0)
warships / boats ‒ 18 (+0)
vehicles and fuel tanks – 7562 (+19)
special equipment ‒ 766 (+6)
General Staff of the Armed Forces of Ukraine
20230814_173343.jpg
 
Back
Top Bottom