Iyerdoi
JF-Expert Member
- Jun 30, 2012
- 2,717
- 3,895
Yeah! Kumbe bado kidume yupo fit anagawa kichapo huko.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah! Kumbe bado kidume yupo fit anagawa kichapo huko.
Mbona watu wanarudisha mpira kwa kipaYaani Urusi wakidakwa wanakuwa Wapole na wadogo kama piriton. Hutaamini kama ni wale wanaojitapa![]()
View attachment 2885202
Ni maziwa ya unga ili kuondoa wadudu ( maggots) wasianze kazi Yao na kuweka harufu.Ule unga unga mweupe wanazo mwagiwa wanajeshi waliokufa hua ni nini
Picha tafadhaliUle unga unga mweupe wanazo mwagiwa wanajeshi waliokufa hua ni nini
Sisi hatushidani na Urusi bali tunalinda ardhi yetu. Hata wewe huwezi kubali mtu aingia kwenye malalio yako kwa nguvu. Utafanya kila uwezalo. Urusi Ilisema saa 72 itakuwa imeiteka Kyiv kwa sababu urusi ina nguvu. Kiko wapi?Figganiga anataka Ukraine iishinde urusi 😎😎😎 kitu ambacho ni hakiwezekani......urusi ni dude kubwa mnoooo lenye uwezo mkubwa ingekuwa li urusi ni la kipole pole wangeshalivamia Kama akina Iraq na Libya..
wamekutana na chuma ....,🤣🤣😃😃 Shiiit
Urusi kupitia Putin ilisema saa 72 itakuwa imeiteka Kyiv kwa sababu urusi ina nguvu. Kiko wapi?figganigga asee Trump akishinda Ukrainia chali
Mpaka leo mmeshindwa kuleta ushahid wa hayo maneno kama alitamka kweli acha kujifarijiUrusi kupitia Putin ilisema saa 72 itakuwa imeiteka Kyiv kwa sababu urusi ina nguvu. Kiko wapi?
Kama hujui kama Urusi ilisema hujui mambo ya kitaifa. Umepost kimehemko na siwezi kukujibu. Huna ujualoMpaka leo mmeshindwa kuleta ushahid wa hayo maneno kama alitamka kweli acha kujifariji
Ona ulivyo hujielewi hivi huyo mark milley ndio kawa raisi wa urusi tayari narudia tena acha kujifariji bado hakuna uthibitisho mnaropoka hovyo mark ni general mstaafu na ni wa kimarekani sasa tuambie wapi urusi ilisemaKama hujui kama Urusi ilisema hujui mambo ya kitaifa. Umepost kimehemko na siwezi kukujibu. Huna ujualo
![]()
Gen. Milley says Kyiv could fall within 72 hours if Russia decides to invade Ukraine: sources
Chairman of the Joint Chiefs of Staff Gen. Mark Milley told lawmakers that Kyiv could fall within 72 hours if a full-scale Russian invasion of Ukraine took place, multiple congressional sources tell Fox News.www.foxnews.com