Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Tv zetu zote ni mpya na zina waranty, pia tunasafirisha kwa waliopo dar, tanga na arusha. Kwa mawasiliana 0718919725 & 0777650286 tupo Mtendeni Zanzibar. Karibuni
Mkuu nataka kununua tv kutoka kwenu ila mimi nipo dar je gharama za kuleta mpaka dar itakuwa juu yangu au wewe na ni kiasi gani, nilihitaji hiyo star x inch 40
 
Mkuu nataka kununua tv kutoka kwenu ila mimi nipo dar je gharama za kuleta mpaka dar itakuwa juu yangu au wewe na ni kiasi gani, nilihitaji hiyo star x inch 40
Mkuu hiyo ni bei ya kununua tu? Ukitaka kusafirishiwa pamoja na kodi ni 650000
 
Wadau vipi kuhusu ubora wa hizi tv za star x ??
Je ni zinatoka wapi?
 
Sony model yoyote inch 65 au lg 65 ila zenye 4k resolution with digital tuners, shillingi ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…