Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Picha tafadhali kama bado unavyo hivyo vitu
 
Thanks Wazunguray hiyo Tv ishauzwa mkuu ila mtu akitaka Tv naweza kuagiza unalipa ikifika sumsung, Lg, hisence na Sony inch yoyote au Radio hata washing machine kutoka South Africa..
 
Thanks Wazunguray hiyo Tv ishauzwa mkuu ila mtu akitaka Tv naweza kuagiza unalipa ikifika sumsung, Lg, hisence na Sony inch yoyote au Radio hata washing machine kutoka South Africa..
Umenijibu ktk post IPI,
Ile ya sumsang 42 used 750000?
Sasa naweza pata kwa BEI hyo hyo Mkuu?
 
Smart Tv ni uwezo wa Tv kuunganishwa na internet au kuweza kuwa na Facebook ikisapoti hivyo hiyo inaitwa Smart na kuna 4k TV uwezo wa Resolution katika pixels zake ingawaje zipo 8k pia hiyo ni upande wa Rangi..
 
Iris Air Plus smart television. 49inches.(Super slim) 0652045272 check me whatsapp for photos
 
Iris Air Plus smart television. 49inches.(Super slim) 0652045272 check me whatsapp for photos
ingekuwa ni vyema ungeweka bei ili mtu mapemaa anajua afuatilie au aachane nayo. kuokoleana muda kwako na kwa wengine pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…