[emoji2] [emoji3] [emoji2] bado mkuu aujakutana nao kabisaa humu kuna wambea,wanaodandia vitu visivyowahusu na wala sio wateja, wanafiki,matapeli,wajuaji ndio kama wote, ili jukwaa ndio jukwaa la majungu kuliko jukwaa la simu kule humu mtu akikuchukia or akichukia item yako tegemea kuambiwa chochote kileAfadhali umenisaidia mkuu.. nashkuru sana..
Maana humu wajuaji ni wengi mno
Njoo kariakoo mtaa wa agry karibu na bank ya maendeleo mda wowote kesho ukanunue hio Dz950 kwa 780000 new brandHuwez pata hiyo hometheater dukani kwa 700,000. Zunguka dar nzima hutapata. Jumla pekee ni zaid ya 850,000. Naongea kama muuzaj
Aisee wewe ni ME or KE mbona upo kimipasho zaidi[emoji2] [emoji3] [emoji2] bado mkuu aujakutana nao kabisaa humu kuna wambea,wanaodandia vitu visivyowahusu na wala sio wateja, wanafiki,matapeli,wajuaji ndio kama wote, ili jukwaa ndio jukwaa la majungu kuliko jukwaa la simu kule humu mtu akikuchukia or akichukia item yako tegemea kuambiwa chochote kile
Habari mkuu naomba kujua hiyo TCL32 smart ni model ipi???
Mkuu ukipata hyo unishtue na mm nahitaji sana,maana kuagiza nnje ya nchi gharama inakuwa kubwa sana.Habari mkuu naomba kujua hiyo TCL32 smart ni model ipi???
Nataka iliyo na app ya roku kama ntapata...
Samsung 49 na LG 43 nina 1.65M kama inakulipa boss wangu tufanye biasharaLg 43” 780000, tcl smart 43” 700000, lg, samsung 49 1.1m
Siyo povu mkuu ni ukweliSasa mkuu povu la nini? Km aiuzwi si basi mkuu[emoji12]
Mkuu ipo Samsung inch 24 led original...inamiezi tisa bado ipo kwenye hali nzuri sana...kama hujapata nicheki nipo DSMNahitaji TV inayosupport HDMI budjet 250,000
Namba yako ya simu mkuu...na unapatikana wapi?nataka lg nchi 49 smart 4k(uhd) bei za model tofauti tofautiLG....
43 uj643 smart4k 1200000
43 uj 651smart 4k 1200000
49 uj 651smart 4k 1450000
55 uj 651 smart4k 2000000
SAMSUNG...
49j5200 smart 1350000
55 m7000 4k 2250000
55 m7350 4k 2250000
TCL
55 s6200 smart.1400000 Kazkaz[emoji123][emoji123]View attachment 845898
Sent using Jamii Forums mobile app
Magomeni mapipa call 0629565168 inch 49 iliyokuwepo mda huu ndio model hio 49uj651...na price ndio hioNamba yako ya simu mkuu...na unapatikana wapi?nataka lg nchi 49 smart 4k(uhd) bei za model tofauti tofauti
Aisee mkuu tunaomba mawasiliano yako. Hii bei sio ya mchezo nahitaji huo mzigoNjoo kariakoo mtaa wa agry karibu na bank ya maendeleo mda wowote kesho ukanunue hio Dz950 kwa 780000 new brand