The Thugs001
JF-Expert Member
- Sep 13, 2018
- 434
- 933
Bro Salum kwaio huyo jamaa ni dalali wa kesi za watu pia? Kama nakuona vile mnavyopanga plan zenu na mzee wa tunguli mshana Jr, na James ngomelo pale mwanyamla makaburini(ni utani mzee baba[emoji2] [emoji3] [emoji2]) mkambebe juu juu huyo dalali wa kirumbaSina mda wa kujieleza humu najua navyodil naeView attachment 894469
Mkuu nimeweka no ungenipigia tufanye biashara ilikuwa Dar maeneo ya buguruni imeshapata mtejaUngesema inapatikana wp mkuu
Yes mtwara MOJA...shukran pia mdau wangu wa nguvu pande hizo hapo....KAZKAZ[emoji123][emoji123][emoji123]Nashukuru sana 'bwa' tajiri Salum S Hemed nimepokea mzigo wangu hapa Mtwara ukiwa salama salmini.
Tv LG 49 Inch 1,050,000
Tv LG 43 Inch 770,000
Brand New with two year warranty.
Wall Blacketts
HDMi Cables
Flash Disc GB 32
T-shirt mbili za offer View attachment 894957
0754995752Weka contact
Mkuu na Mimi nipo Mwanza nahitaji nch 32. 0713144779Weka contact
nyosha maelezonahitaji tv inch 40-43 brand yoyote, nipo Mwanza
Maelezo yamejitosheleza.nyosha maelezo
sina tamaa, nipatie 300k tuUnauzaje?
pungufu ya hapo tutaongeaUnauzaje?
Mimi ninayo, karibu sana naiuza 300k, pungufu ya hapo tutaongea, nmeitumia miez michache tu, ipo katika hali nzuri sanaNaweza pata Samsung 24 inch smart tv na ni kwa sh ngapi?
Maelezo
yamejitosheleza.
Aliekwambia mimi sio muuzaji wa tv ni nani? Acha kuropoka
Kama hujaelewa haikukulenga wewe sio muuzaji, wameshanitafuta wenye bidhaa.