Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Nashukuru sana 'bwa' tajiri Salum S Hemed nimepokea mzigo wangu hapa Mtwara ukiwa salama salmini.

Tv LG 49 Inch 1,050,000
Tv LG 43 Inch 770,000
Brand New with two year warranty.
Wall Blacketts
HDMi Cables
Flash Disc GB 32
T-shirt mbili za offer View attachment 894957
Yes mtwara MOJA...shukran pia mdau wangu wa nguvu pande hizo hapo....KAZKAZ[emoji123][emoji123][emoji123]
 
Led tv soyi inch 32 bei 400000/=
and Soyi Smart inch 32 new brand bei 450000/= and one year warranty..
dvd hd new brand MP4, hdmi, Av USB, bei 100000/=
Location magomeni mapipa Dar
Call 0629565168
Kazkaz[emoji123] [emoji123]
IMG_20181012_165559_237.jpg
View attachment 895826
IMG-20181012-WA0022.jpg
IMG_20181012_165621_042.jpg
 
Habari wakuu, naiuza tv flat screen inch 24, ipo katika hali nzuri sana, (imenunuliwa miezi michache iliyopita).

Itakufaa sana kwa matumizi ya nyumbani kwako,

bei ni laki 3 pungufu ya hapo tutaongea, karibuni sana

Napatikana ubungo river side
 
Naomba usinihamishie stress zako mkuu, pambana kupata soko la bidhaa zako, mimi nilishapata tv kitambo.
 
Back
Top Bottom