The Thugs001
JF-Expert Member
- Sep 13, 2018
- 434
- 933
Bro Salum kwaio huyo jamaa ni dalali wa kesi za watu pia? Kama nakuona vile mnavyopanga plan zenu na mzee wa tunguli mshana Jr, na James ngomelo pale mwanyamla makaburini(ni utani mzee baba[emoji2] [emoji3] [emoji2]) mkambebe juu juu huyo dalali wa kirumbaSina mda wa kujieleza humu najua navyodil naeView attachment 894469