Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

*INAUZWA*
SAMSUNG TV 40"Series 6
Smart 3D Full HD LED TV-used
*ina mstari kama unavyoiona kwenye kioo*
*Nina mwaka nayo iko hivyo *
Bei 500000/=
 
Blackstone 22 inch
VGA port
Hdmi port
Usb port

Support Mp4,AVI,MKV,nk nk

Bei 200000

whatsapp 0652270700
call 0679715160
 
Mwenye kujua bei ya Samsung s7 edge mpya anisaidie tafadhali.
620k mjanja unapata, 650k-680k ndo wanavyouza sehem nying kwa bei ya kuanzia na ukiwa lifuko fuko wanakupga mpk 720k. Halaf umekosea jukwaa ungeomba kwanza kama ulijua hili
 
TCL Smart TV 43" HD LED

CALL/Whatsapp - 0717016789

Key features

Screen Size: 43"

Screen Type: LED

Screen Resolution: Full HD

Connectivity: USB, HDMI, Wi-Fi

Call/Whatsapp - 0717016789

BRAND NEW

 
Star X 32" HD LED TV

PRICE - 360,000/- CALL/WHATSAPP - 0717016789

FREE DELIVERY IN DAR

USB[emoji3581] HDMI[emoji3581] DTV[emoji3581] WARRANTY [emoji3581] CALL/WHATSAPP - 0717016789
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…